Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
- Thread starter
-
- #81
Waziri mkuu ametutangazia majuzi kuwa Rais yupo na anaendelea na majukumu. Si lazima azurure kariakoo ndo tujue yupo. Hivyo hadi sasa kwa kauli hiyo tunaamini yupo. Ikingundulika vinginevyo nayo tutashitaki bado. Ndo maana kwa madai yangu serikali nayo nimeihusisha katika mashitaka.ili ionekane kaleta taharuki waseme yupo wapi na ana hali gani atakuwa hatiani ikiwa alivyoonena ni tofauti na uhalisia
Kwa hiyo ni Attention seeker wa JF?Sina haja ya teuzi. Wabongo tuache kukariri. Si kila mtu anaishi kwa teuzi.
Pole kwa kumwabudu Lissu. Sijaja hapa kushindana na Lissu namuheshimu na ninampenda kama Mtanzania mwenzangu. Lakini kama kuna sehemu ambayo kasababisha athari kwangu nitamshitaki yeye si Mungu wa kuogopwa. Mahakama itatoa haki hayo mengine hayanihusu.Kwa kifupi wewe humuwezi Lissu . Labda muamue kutumia mzinga safari hii .
Bahati mbaya tumeamua kuuchagua u communist. Ambayo haijawahi kuitoa nchi yoyote mrisi. Viongozi wengi tena wakubwa zaidi wameugua kipindi hiki, lakini habari zao hazikuwahi kuwa siri inayochonganisha wananchi. Bali watu walitaarifiwa eg D. Trump, Waziri mkuu wa UK B. Johnson, Waziri mkuu wa Canada nk . Sasa sisi tunataka kujifanya North Korea , HAITUSAIDII
Duuh! Ama kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake!Kwa hiyo ni Attention seeker wa JF?
Hii kauli tukisikia ndiyo hasira na chuki zinatuzidia. Kweli serikali isijue watu walioingia kwenye makaazi ya Mawaziri? Na unamlaumu Lissu hajafungua kesi? Kwenye mahakama zipi? Acheni unafikiLakini kama Lisu anawajua kwanini asifungue kesi? Mpaka leo hakuna ajuae alie fanya hicho kitendo.
Kumbe unatambua sihitaji uteuzi ndo maana sijaweka namba. Asante!Mbona hujaweka namba za simu, watakupataje ili uteuliwe?
Afungue kesi kwa nani ?!. Hawa waliomjibu kule Dodoma kuwa hamna uchunguzi wowote !!. Kwamba kuna waliotendewa zaidi yake . Nani Alphonse Mawazo aliyecharangwa mashoka ?!.Ndugu yangu. Kutendewa baya si kulipa baya. Kuna wengi walopatwa na mabaya zaidi hata ya Lisu. Hapa duniani kuna mengi. Lakini kama Lisu anawajua kwanini asifungue kesi? Mpaka leo hakuna ajuae alie fanya hicho kitendo. Ni hisia na ushabiki ndo vimetujaa. Nisiende huko hayanihusu yangu ni haya tu.
Naomba nisikujibu mie naongelea madai yangu hayo niwaachie wahusika kwani sijui lolote. Wakati yanatokea hata Tanzania sikuwepo nilikuja sikia tu nisiwe muongo.Afungue kesi kwa nani ?!. Hawa waliomjibu kule Dodoma kuwa hamna uchunguzi wowote !!. Kwamba kuna waliotendewa zaidi yake . Nani Alphonse Mawazo aliyecharangwa mashoka ?!.
Kumbe!Kuna shida mahali sio bure
UKISHAPIGWA RISASI ZAIDI YA 7 MWILINI HATA AKILI HUWA SIO SAWA TENA...!!Siujui ndo maana naweka wakili.
Nilipata habari BBC wakisema kwa Mujibu wa T. Lisu
Una hela ya kuweka Wakili?Kama yapo ya maana uyaonayo yafungulie hili kwangu ni lamaana.
Sihitaji porojo Polepole sio Mahakama wala sihitaji usuluhishi.mshitaki lissu kwa polepole kwenye kipindi cha papo kwa papo atamshughulikia
Aisee,UKISHAPIGWA RISASI ZAIDI YA 7 MWILINI HATA AKILI HUWA SIO SAWA TENA...!!
Swali zuri, ila swala la fedha ni swala binafsi. Naomba nisikujibu katika hili. Asante!Una hela ya kuweka Wakili?