Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote..
Hujui ametoa mimba mara ngapi
Hujui watu waliopita nae
Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende
Siwezi
Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr
Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi Mungu atanipa wa kufanana nae