Mkuu kwanza umeandika mambo mengi sana ila kwa 100% umeandika pumba tupu.
Kuna uhusiano Gani kati ya artificial Intelligence (AI) na kumpata MWANAMKE bikra?
Usifananishe mabadiliko ya sayansi na technologia yabadilishe mfumo wa maisha na malezi utaishia kuandaa familia na kizazi cha mashoga.
Sikia mkuu hata maandiko yote kutoka vitabu vya dini Mungu mwenyewe anajua utakatifu wa bikra na sio huo uchafu unao upigania
Bikra ni utakatifu au ishara ya uvumilivu subira na kujiheshimu, thamani ya MWANAMKE ni bikra na sio mambo mengine.
Wanawake wana mambo mengi mzee MWANAMKE anaathiriwa na background yake, kama alizoea kunyonywa k basi jiandae kunyonya pia.
Ukipata mke bikra maana yake hajui Chochote kuhusu mahusiano Wala hana jambo lolote ambalo lilimuathiri.
Kuzaa na MWANAMKE ambae sio bikra maana yake nikukubali kuwa retirement package kwa MWANAMKE ambae k yake imetumika vya kutosha
Just imagine unaoa graduate ambae ameanza mahusiano kidato cha pili mpaka chuo amekaa unyumba na wanaume zaidi ya watatu
Alafu na wewe unakuja ety naoa hahahaha hivi uoni kama unatapeliwa
Anyway nimalize kwa kusema bikra zipo nyingi sana tatizo wengi wenu mnaumalaya mwingi ndio maana hampati Nina mengi ya kusema ila tambua kwamba hakuna utulivu kwa ndoa kwa mwanamke ambae ni porn actor
Utaishia kuchapiwa Miaka yote mkuu huna hoja kama umeoa ambae sio bikra basi imekula kwako endelea kujiliwaza kijinga....
Hakuna utakatifu mzuri kama kupata mtoto wako kutoka kwa mwanamke bikra
Pia hakuna binti wa miaka 18 anaweza kuwa na akili ya kutengeneza bikra na ukitaka kuoa haina haja kusema nataka bikra ila baada ya hapo utajua na Sheria yetu dini inaruhusu kuacha kama sio bikra..
sijaandika 100% pumba hata kidogo na mimi ni daktari kwa taaluma najua nilichoandika
Nimefananisha akili mnemba nikiamanisha kuwa dunia ya kisasa sio ya kijima unayofikiria wewe.
Hivi unajua bikira ni kinyama chepesi sana kinaitwa Hymen ambacho kinaweza chanika kwa kunyanyua vitu vizito,kuendesha baiskeli na hata mtoto kuugua utotoni.
Mimi ni daktari wa magonjwa ya wanawake i know what i am writting taaluma yangu hainiruhusu kutoa siri za wagonjwa ila kuna watoto wa kike wa miaka hata minne unakuta hana hiyo hymen sababu aliugua ugonjwa flani wa UTI ikaondoka.
Wewe unaongea mambo ya biblia.Biblia inaongelea bikra ni mwanamke ambaye hajaingiliwa sio mwenye hicho kinyama cha kijinga.Tatizo mnakaariri biblia biblia imeandikwa kimafumbo.
By the way Daudi alivyomuoa Uria alimkuta yule mke ana hiyo bikira?
Boriti yako wewe ikoje jiulize wewe unapotafuta hiyo bikira wewe ni bikira hujawahi kufanya ufuska?.
Mwanamke sawa umekuta bikira umefurahia kuikata lakini kichwani hakuna kitu mjinga hajasoma hajui kujishughulisha mvivu kama uko kijijini haj amegeuka kuwa malaya wa kutupa ushujaa wako uko wapo hapo.

Mwanamke sawa umekuta bikira umefurahia kuikata lakini kichwani hakuna kitu mjinga hajasoma hajui kujishughulisha mvivu kama uko kijijini hajui hata kushika jembe anasubiri ngono yako tu na amegeuka kuwa malaya wa kutupa ushujaa wako uko wapo hapo.
Kungekuwa na uwezekano ukaenda kanisa la walikole wafia dini ukawaambia humu ndani kama kuna mwanamke ambaye ana uhakika wakati anaolewa alikuwa bikira atoke mbele.Ila endapo akitokea muongo hata dondoka mbele ya madhabahu hatatokeza hata mmoja.Ila hawa ni wanawake waliotubu huenda mungu akawasamehe ila sasa wamebadilika ni watu safi.Huyo unayemtaka wewe huko mtaani huenda ni jamvi la kila mtu uwapo safarini maana kaonja kaona asali ukubwani
Once again i repeat I am Gynecologist by proffession i know what am saying
Hata jina lako la kificho halifanani na unayoyataka anza na wewe kwanza ukoje?
ACHA USHAMBA WEWE