Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

Nadhan ww utakuwa kijana mdogo. Haujavuka 25 yrs.
Na bado unajitafuta.

Kama kuoa ni mpaka bikra.
Je kwasasa haufanyi mapenz?.
Maana kama unafanya na waliotolewa bikra bas jua hakutakuwa na tofaut kama ukioa asiyekuwa na bikra.
Cha muhim ni mwanamke akuheshim na mpendane.

Bikra ni jambo jema ila sio muhimu. Kwahiyo usilipe kipaumbele sana .
Ila kama uko kijijin. Bas endelea kuisaka.
 
Uko sawa, nimeoa mwanamke bikra zile hisia za kijinga kijinga kuwa kabla yangu alikua na wangapi hazipo , mara zile hisia kuwa mwanamke huwa hamsahau mwanaume wake wa kwanza huwezi kuwa nazo, utulivu wa mwili na akili unakua mkubwa sana hata katika utafutaji wako na pia mapenzi yake na heshima kwako inakua yako wazi siyo ya kuigizaigiza.

Kwahiyo dogo endelea na huohuo msimamo, hata mimi nisingepata mwanamke bikra nisingeoa kwanza, cha msingi na wewe usiwe muharibifu wa watoto wa watu na umuombe Mungu atakukutanisha na mtu sahihi.
 
Samahani mtoa mada nitaongea kitu kisikukwaze kinatugusa wote.

Swali la kwanza kujiuliza japo huna uhakika huenda baba yako ndio anajibu.
Mama yako wakati anaolewa alikuwa bikira?.Unaweza kuta umepita kwenye mlango wazi huo huo unaoupinga.

Definition nzuri ya bikira ni mwanamke ambaye hajawahi fanya tendo la ndoa ila sio eti ambaye anakinyama kinachoitwa hymen ambacho kinaweza kuchanika kwa shughuli mbali mbali.

Yuko Ngosha mmoja hapa naye anashadadia hii mada.Huku Usukumani ndio maana hiyo mila ya ubikira huwa hawana kutokana na mazingira ya shughuli za wadada na wanawake zao.
Mdada anaendesha baiskeli na kunyanyua mizigo mizito toka utotoni unategemea hiyo bikira itakuwepo kweli?.

Hata Yusufu alivyomuoa Maria na akaitwa bikira Maria haikuwa na maana hicho kinyama kilikuwepo maana yake ni kwamba mama wa YESU alikuwa hajawahi ingiliwa na mtu yeyote.

Kwa miaka ya sasa ukiitaka bikira ujiandae kufungwa miaka 30 au maisha maana itabidi ukaitafute kwa vitoto vya primary darasa la sita kuteremka chini.

Nina rafiki yangu miaka 35 iliyopita alioa mdada bikira kijiji kizima kilijua ila ile ndoa haikudumu maana yule mdada alikuja kugeuka kuwa malaya sana maana aliona kumbe asali utamu wake uko namna gani.

Badili msimamo acha ushamba sasa hivi tuko kwenye dunia ya akili mnemba yaani AI bado wewe uko kwenye ujima.
Unaweza kuingizwa mkenge ukadhani umeoa bikira kumbe kuna ujanja siku hizi wa kutumia zana mbali mbali mfano ndimu na limao au hata operation.Watu wa pwani ndio wako vizuri kwa hili.

Bikira ya uhakika kuipata ni ngoma ya sikio hiyo hakika utaikuta
 
Linapokuja swala la ndoa AKILI NA TABIA ya mhusika ndo MALI.

Nimeshuhudia watu kadhaa (zaidi ya 5) waliooa wanawake waliodai waliwakuta bikra, lakini ndoa haikutoboa miaka 5.
Kati ya hao, mmoja mke wake aligeuka Malaya wa kutupwa karibia kila aliemtaka pale mtaani alimlala.

Ili uifurahie ndoa, Kwa mtazamo wangu, ni eidha;

1 Umpate mwanamke ambae kiasili ana akili na ana tabia njema, yaani ni mnyenyekevu, mwelewa na mwenye heshima.

2 Umapte mwanamke ambae ameshafanya fujo zoteee akafikia Ile hatua ya kusadiki ndani ya moyo wake kwamba NIKIMPATA WA KUNIOA SITAKI TENA KUACHIKA.


BIKRA Kwa mwanamke asie na tabia nzuri Wala akili ni TAKATAKA

UZURI WA NJE Kwa mwanamke asie na tabia nzuri Wala akili NI TAKATAKA

MTAZAMO WANGU
 
Samahani mtoa mada nitaongea kitu kisikukwaze kinatugusa wote.

Swali la kwanza kujiuliza japo huna uhakika huenda baba yako ndio anajibu.
Mama yako wakati anaolewa alikuwa bikira?.Unaweza kuta umepita kwenye mlango wazi huo huo unaoupinga.

Definition nzuri ya bikira ni mwanamke ambaye hajawahi fanya tendo la ndoa ila sio eti ambaye anakinyama kinachoitwa hymen ambacho kinaweza kuchanika kwa shughuli mbali mbali.

Yuko Ngosha mmoja hapa naye anashadadia hii mada.Huku Usukumani ndio maana hiyo mila ya ubikira huwa hawana kutokana na mazingira ya shughuli za wadada na wanawake zao.
Mdada anaendesha baiskeli na kunyanyua mizigo mizito toka utotoni unategemea hiyo bikira itakuwepo kweli?.

Hata Yusufu alivyomuoa Maria na akaitwa bikira Maria haikuwa na maana hicho kinyama kilikuwepo maana yake ni kwamba mama wa YESU alikuwa hajawahi ingiliwa na mtu yeyote.

Kwa miaka ya sasa ukiitaka bikira ujiandae kufungwa miaka 30 au maisha maana itabidi ukaitafute kwa vitoto vya primary darasa la sita kuteremka chini.

Nina rafiki yangu miaka 35 iliyopita alioa mdada bikira kijiji kizima kilijua ila ile ndoa haikudumu maana yule mdada alikuja kugeuka kuwa malaya sana maana aliona kumbe asali utamu wake uko namna gani.

Badili msimamo acha ushamba sasa hivi tuko kwenye dunia ya akili mnemba yaani AI bado wewe uko kwenye ujima.
Unaweza kuingizwa mkenge ukadhani umeoa bikira kumbe kuna ujanja siku hizi wa kutumia zana mbali mbali mfano ndimu na limao au hata operation.Watu wa pwani ndio wako vizuri kwa hili.

Bikira ya uhakika kuipata ni ngoma ya sikio hiyo hakika utaikuta
Mkuu kwanza umeandika mambo mengi sana ila kwa 100% umeandika pumba tupu.

Kuna uhusiano Gani kati ya artificial Intelligence (AI) na kumpata MWANAMKE bikra?

Usifananishe mabadiliko ya sayansi na technologia yabadilishe mfumo wa maisha na malezi utaishia kuandaa familia na kizazi cha mashoga.

Sikia mkuu hata maandiko yote kutoka vitabu vya dini Mungu mwenyewe anajua utakatifu wa bikra na sio huo uchafu unao upigania

Bikra ni utakatifu au ishara ya uvumilivu subira na kujiheshimu, thamani ya MWANAMKE ni bikra na sio mambo mengine.

Wanawake wana mambo mengi mzee MWANAMKE anaathiriwa na background yake, kama alizoea kunyonywa k basi jiandae kunyonya pia.

Ukipata mke bikra maana yake hajui Chochote kuhusu mahusiano Wala hana jambo lolote ambalo lilimuathiri.

Kuzaa na MWANAMKE ambae sio bikra maana yake nikukubali kuwa retirement package kwa MWANAMKE ambae k yake imetumika vya kutosha

Just imagine unaoa graduate ambae ameanza mahusiano kidato cha pili mpaka chuo amekaa unyumba na wanaume zaidi ya watatu

Alafu na wewe unakuja ety naoa hahahaha hivi uoni kama unatapeliwa

Anyway nimalize kwa kusema bikra zipo nyingi sana tatizo wengi wenu mnaumalaya mwingi ndio maana hampati Nina mengi ya kusema ila tambua kwamba hakuna utulivu kwa ndoa kwa mwanamke ambae ni porn actor

Utaishia kuchapiwa Miaka yote mkuu huna hoja kama umeoa ambae sio bikra basi imekula kwako endelea kujiliwaza kijinga....

Hakuna utakatifu mzuri kama kupata mtoto wako kutoka kwa mwanamke bikra

Pia hakuna binti wa miaka 18 anaweza kuwa na akili ya kutengeneza bikra na ukitaka kuoa haina haja kusema nataka bikra ila baada ya hapo utajua na Sheria yetu dini inaruhusu kuacha kama sio bikra..
 
Nenda bonyokwa ukachukue bikra huko 😂
Anyway kutoa bikra ni unyama yaani kitu unakuta cha moto afu kitu tight kwenye utamu ndo usiseme aseee achana na hayo ya mtaani yamepigwa baridi ukiweka kama umeweka kwenye pango yaani radha haipo
 
Back
Top Bottom