Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

sijaandika 100% pumba hata kidogo na mimi ni daktari kwa taaluma najua nilichoandika
Nimefananisha akili mnemba nikiamanisha kuwa dunia ya kisasa sio ya kijima unayofikiria wewe.

Hivi unajua bikira ni kinyama chepesi sana kinaitwa Hymen ambacho kinaweza chanika kwa kunyanyua vitu vizito,kuendesha baiskeli na hata mtoto kuugua utotoni.
Mimi ni daktari wa magonjwa ya wanawake i know what i am writting taaluma yangu hainiruhusu kutoa siri za wagonjwa ila kuna watoto wa kike wa miaka hata minne unakuta hana hiyo hymen sababu aliugua ugonjwa flani wa UTI ikaondoka.

Wewe unaongea mambo ya biblia.Biblia inaongelea bikra ni mwanamke ambaye hajaingiliwa sio mwenye hicho kinyama cha kijinga.Tatizo mnakaariri biblia biblia imeandikwa kimafumbo.
By the way Daudi alivyomuoa Uria alimkuta yule mke ana hiyo bikira?
Boriti yako wewe ikoje jiulize wewe unapotafuta hiyo bikira wewe ni bikira hujawahi kufanya ufuska?.

Mwanamke sawa umekuta bikira umefurahia kuikata lakini kichwani hakuna kitu mjinga hajasoma hajui kujishughulisha mvivu kama uko kijijini haj amegeuka kuwa malaya wa kutupa ushujaa wako uko wapo hapo.

Mwanamke sawa umekuta bikira umefurahia kuikata lakini kichwani hakuna kitu mjinga hajasoma hajui kujishughulisha mvivu kama uko kijijini hajui hata kushika jembe anasubiri ngono yako tu na amegeuka kuwa malaya wa kutupa ushujaa wako uko wapo hapo.

Kungekuwa na uwezekano ukaenda kanisa la walikole wafia dini ukawaambia humu ndani kama kuna mwanamke ambaye ana uhakika wakati anaolewa alikuwa bikira atoke mbele.Ila endapo akitokea muongo hata dondoka mbele ya madhabahu hatatokeza hata mmoja.Ila hawa ni wanawake waliotubu huenda mungu akawasamehe ila sasa wamebadilika ni watu safi.Huyo unayemtaka wewe huko mtaani huenda ni jamvi la kila mtu uwapo safarini maana kaonja kaona asali ukubwani
Once again i repeat I am Gynecologist by proffession i know what am saying
Hata jina lako la kificho halifanani na unayoyataka anza na wewe kwanza ukoje?

ACHA USHAMBA WEWE
Hahahaha..mkuu kuna tofauti Gani kati ya mwanamke ambae hajaingiliwa na bikra?

Kaka hiyo issue ya hymen haihusiani na taaluma yako hata kidogo ni vitu ambavyo hata mimi mtu wa social science navifahamu sawa?

Hymen zimegawanyika kwenye makundi tofauti na bado zote ni hypen sasa unashindwa kutofautisha unabaki na aina Moja siku kuna hymen zifuatazo.

Annular hymen
Crescentic (semilunar) hymen
Septate hymen
Cribriform hymen
Imperforate hymen
Microperforate hymen
Fimbriated hymen

Kama hujui nenda huko google mana unaonekana akili pekepeke mtoto wa AI.

Thamani ya bikra inabaki pale pale bro, mwanamke ambae ameweza kumantain emotion zake mpaka 18-20 iwe kwa uwezo wake au usimamizi wa wazazi wake bado anatakiwa kupewa sifa.

Najua umeshakosea kuoa mbaya zaidi hata kizazi chako tayari ni affected na ujuaji wako.

Tusifike mbali baki na imani yako na mm niache na imani yako.

Ila siwezi kuoa mwanamke ambae anawatu ambao hawezi kuwasahau ana watu waliomnyandua sana huko alafu nije mm kuandaa nae kizazi cha baraka..

Ndio maana hata yesu na utakatifu wake alitokea kwa bikra are you there hata mtume Muhammad alisema oeni bikra...

Acha ujuaji mkuu huna elimu yoyote kuhusu hili.
Bikra ni ishara ya uzuri uvumilivu hekima na busara mwanamke bikra sio kama hao sex tools zako jiheshimu.

Sometimes unakuwa kwenye ndoa hupati mtoto kumbe umeoa jitu limetoa mimba sio chini ya tano unakaa na killer ndani alooo

Siwezi kuwa retirement package kwa MWANAMKE aliechezewa na wanaume wa ajabu alafu nije kumpa true love sahau

Ila wewe kwakuwa tayari umekosea basi kaa kimya pia tambua I'm 25 now kuoa binti wa miaka 18 nakuwa %100 perfect

Wewe kama uko kwenye 37 huko ni aibu kifupi upo out of date ushaoa Malaya mkuu

Kwnye ulimwengu wa roho mke wako ana mume wake tayari wewe umekuja kuhudimia TU pole

Acha ushamba mkuu pia Rudi shule Nina wasiwa6na diploma yako ya udaktari

Huwa najibu watu kwa makundi na nafasi wewe kwa huu mwaka inatosha happy new tukutane 2027 kwasasa huna hadhi ya kujibiwa na mimi.
 
Nimegundua nachat na last born wangu.
Mimi sio wa age ya AI unavyofikiri
haya uliyoandika hapa najua umeya google
Mimi kwa sasa niko 65yrs hebu jipime hapo unabishana na baba yako au mwalimu wa baba yako
kumbe una miaka 25 funga huu mjadala count on me huyo unayemtafuta unaweza kumpata ila katika mazingira ambayo hatakuwa na status ya wewe kuwa naye mfano shule ukimpata hiyo ndoa yako after ten years uje uniambie.Sikuombei vibaya lakini kwa miaka niliyoishi nimeona mengi.
 
Uko sawa, nimeoa mwanamke bikra zile hisia za kijinga kijinga kuwa kabla yangu alikua na wangapi hazipo , mara zile hisia kuwa mwanamke huwa hamsahau mwanaume wake wa kwanza huwezi kuwa nazo, utulivu wa mwili na akili unakua mkubwa sana hata katika utafutaji wako na pia mapenzi yake na heshima kwako inakua yako wazi siyo ya kuigizaigiza.

Kwahiyo dogo endelea na huohuo msimamo, hata mimi nisingepata mwanamke bikra nisingeoa kwanza, cha msingi na wewe usiwe muharibifu wa watoto wa watu na umuombe Mungu atakukutanisha na mtu sahihi.
Maajabu! Na wewe unaamini Mungu? Au ushatubu madhambi ya kuwapiga watu chuma?
 
Linapokuja swala la ndoa AKILI NA TABIA ya mhusika ndo MALI.

Nimeshuhudia watu kadhaa (zaidi ya 5) waliooa wanawake waliodai waliwakuta bikra, lakini ndoa haikutoboa miaka 5.
Kati ya hao, mmoja mke wake aligeuka Malaya wa kutupwa karibia kila aliemtaka pale mtaani alimlala.

Ili uifurahie ndoa, Kwa mtazamo wangu, ni eidha;

1 Umpate mwanamke ambae kiasili ana akili na ana tabia njema, yaani ni mnyenyekevu, mwelewa na mwenye heshima.

2 Umapte mwanamke ambae ameshafanya fujo zoteee akafikia Ile hatua ya kusadiki ndani ya moyo wake kwamba NIKIMPATA WA KUNIOA SITAKI TENA KUACHIKA.

BIKRA Kwa mwanamke asie na tabia nzuri Wala akili ni TAKATAKA

UZURI WA NJE Kwa mwanamke asie na tabia nzuri Wala akili NI TAKATAKA

MTAZAMO WANGU
Umeongea point.. akili na tabia ndo kila kitu.
 
Ile naniliyu ni kama sahani ukimaliza kula huoshwa na kupakuliwa mwengine
Acha uoga we kula yeyote inayokatiza mbele yako.
Nalog off Z
 
Unaoa mwanamke bikra baadae unasikia kuna pimbi flani anakuchapia
utajisikiaje?

Kwa afya yako ya akili nakushauri ni bora uoe mwanamke kicheche

Am out!
 
Daah unakuta kijana anaoa mwanamke ambaye analiwa tako yeye ndio anaoa, asee mambo haya
 
Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote..

Hujui ametoa mimba mara ngapi
Hujui watu waliopita nae

Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende
Siwezi

Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr
Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi Mungu atanipa wa kufanana nae
😂😂tutakuepo
 
Huna ujasiri wa kula mwanamke asiye bikra ila ujasiri wa kuchungulia video chafu za mwanaume mwenzako anapeleka moto unao bila shaka.
 
sijaandika 100% pumba hata kidogo na mimi ni daktari kwa taaluma najua nilichoandika
Nimefananisha akili mnemba nikiamanisha kuwa dunia ya kisasa sio ya kijima unayofikiria wewe.

Hivi unajua bikira ni kinyama chepesi sana kinaitwa Hymen ambacho kinaweza chanika kwa kunyanyua vitu vizito,kuendesha baiskeli na hata mtoto kuugua utotoni.
Mimi ni daktari wa magonjwa ya wanawake i know what i am writting taaluma yangu hainiruhusu kutoa siri za wagonjwa ila kuna watoto wa kike wa miaka hata minne unakuta hana hiyo hymen sababu aliugua ugonjwa flani wa UTI ikaondoka.

Wewe unaongea mambo ya biblia.Biblia inaongelea bikra ni mwanamke ambaye hajaingiliwa sio mwenye hicho kinyama cha kijinga.Tatizo mnakaariri biblia biblia imeandikwa kimafumbo.
By the way Daudi alivyomuoa Uria alimkuta yule mke ana hiyo bikira?
Boriti yako wewe ikoje jiulize wewe unapotafuta hiyo bikira wewe ni bikira hujawahi kufanya ufuska?.

Mwanamke sawa umekuta bikira umefurahia kuikata lakini kichwani hakuna kitu mjinga hajasoma hajui kujishughulisha mvivu kama uko kijijini haj amegeuka kuwa malaya wa kutupa ushujaa wako uko wapo hapo.

sijaandika 100% pumba hata kidogo na mimi ni daktari kwa taaluma najua nilichoandika
Nimefananisha akili mnemba nikiamanisha kuwa dunia ya kisasa sio ya kijima unayofikiria wewe.

Hivi unajua bikira ni kinyama chepesi sana kinaitwa Hymen ambacho kinaweza chanika kwa kunyanyua vitu vizito,kuendesha baiskeli na hata mtoto kuugua utotoni.
Mimi ni daktari wa magonjwa ya wanawake i know what i am writting taaluma yangu hainiruhusu kutoa siri za wagonjwa ila kuna watoto wa kike wa miaka hata minne unakuta hana hiyo hymen sababu aliugua ugonjwa flani wa UTI ikaondoka.

Wewe unaongea mambo ya biblia.Biblia inaongelea bikra ni mwanamke ambaye hajaingiliwa sio mwenye hicho kinyama cha kijinga.Tatizo mnakaariri biblia biblia imeandikwa kimafumbo.
By the way Daudi alivyomuoa Uria alimkuta yule mke ana hiyo bikira?
Boriti yako wewe ikoje jiulize wewe unapotafuta hiyo bikira wewe ni bikira hujawahi kufanya ufuska?.

Mwanamke sawa umekuta bikira umefurahia kuikata lakini kichwani hakuna kitu mjinga hajasoma hajui kujishughulisha mvivu kama uko kijijini hajui hata kushika jembe anasubiri ngono yako tu na amegeuka kuwa malaya wa kutupa ushujaa wako uko wapo hapo.

Kungekuwa na uwezekano ukaenda kanisa la walikole wafia dini ukawaambia humu ndani kama kuna mwanamke ambaye ana uhakika wakati anaolewa alikuwa bikira atoke mbele.Ila endapo akitokea muongo hata dondoka mbele ya madhabahu hatatokeza hata mmoja.Ila hawa ni wanawake waliotubu huenda mungu akawasamehe ila sasa wamebadilika ni watu safi.Huyo unayemtaka wewe huko mtaani huenda ni jamvi la kila mtu uwapo safarini maana kaonja kaona asali ukubwani
Once again i repeat I am Gynecologist by proffession i know what am saying
Hata jina lako la kificho halifanani na unayoyataka anza na wewe kwanza ukoje?

ACHA USHAMBA WEWE
Kma wewe kweli ni dakatri na hivi ndivyo jinsi unavyo reason na haya matango pori uliyojifunza darasani, basi unapaswa kunyang'wa leseni kisha ichanwe chanwe, maana umeonesha ufahamu mdogo sana wa kitaaluma na kifikra.
 
Hahahaha..mkuu kuna tofauti Gani kati ya mwanamke ambae hajaingiliwa na bikra?

Kaka hiyo issue ya hymen haihusiani na taaluma yako hata kidogo ni vitu ambavyo hata mimi mtu wa social science navifahamu sawa?

Hymen zimegawanyika kwenye makundi tofauti na bado zote ni hypen sasa unashindwa kutofautisha unabaki na aina Moja siku kuna hymen zifuatazo.

Annular hymen
Crescentic (semilunar) hymen
Septate hymen
Cribriform hymen
Imperforate hymen
Microperforate hymen
Fimbriated hymen

Kama hujui nenda huko google mana unaonekana akili pekepeke mtoto wa AI.

Thamani ya bikra inabaki pale pale bro, mwanamke ambae ameweza kumantain emotion zake mpaka 18-20 iwe kwa uwezo wake au usimamizi wa wazazi wake bado anatakiwa kupewa sifa.

Najua umeshakosea kuoa mbaya zaidi hata kizazi chako tayari ni affected na ujuaji wako.

Tusifike mbali baki na imani yako na mm niache na imani yako.

Ila siwezi kuoa mwanamke ambae anawatu ambao hawezi kuwasahau ana watu waliomnyandua sana huko alafu nije mm kuandaa nae kizazi cha baraka..

Ndio maana hata yesu na utakatifu wake alitokea kwa bikra are you there hata mtume Muhammad alisema oeni bikra...

Acha ujuaji mkuu huna elimu yoyote kuhusu hili.
Bikra ni ishara ya uzuri uvumilivu hekima na busara mwanamke bikra sio kama hao sex tools zako jiheshimu.

Sometimes unakuwa kwenye ndoa hupati mtoto kumbe umeoa jitu limetoa mimba sio chini ya tano unakaa na killer ndani alooo

Siwezi kuwa retirement package kwa MWANAMKE aliechezewa na wanaume wa ajabu alafu nije kumpa true love sahau

Ila wewe kwakuwa tayari umekosea basi kaa kimya pia tambua I'm 25 now kuoa binti wa miaka 18 nakuwa %100 perfect

Wewe kama uko kwenye 37 huko ni aibu kifupi upo out of date ushaoa Malaya mkuu

Kwnye ulimwengu wa roho mke wako ana mume wake tayari wewe umekuja kuhudimia TU pole

Acha ushamba mkuu pia Rudi shule Nina wasiwa6na diploma yako ya udaktari

Huwa najibu watu kwa makundi na nafasi wewe kwa huu mwaka inatosha happy new tukutane 2027 kwasasa huna hadhi ya kujibiwa na mimi.
Huyo jamaa anajinasibu kuwa yeye ni daktari ila reasoning capacity yake ni kama ya mtu aliyeishia darasa la saba, ameonesha uwezo duni sana wa kiakili.

Sidhani kma ni daktari huyo na kma kweli ni daktari huyo basi ndio wale madakari wa mchongo wanaosoma short courses kupitia youtube, halafu baada ya hapo wanaenda kufungua viofisi huko vichochoroni bila leseni wala nini, kisha wanaanza kupiga hela za wajinga.

Daktari gani anakuletea habari za bikra kuvunjwa na kuendesha baiskeli? Yaani hoja ya kipuuzi kabisa, hoja kma hii huwa tunaiskia kwa watu ambao hawajaenda shule, ila leo hii hapa inatolewa na mtu anayejinasibu kuwa yeye ni daktari, daktari wa nyoko...!!

Mara anaihusisha Artificial intelligence na mitazamo binafsi kuhusu bikra, jamani mpaka nimebaki namshangaa tu.. bikra na AI wapi na wapi?? Hawa ndio wale wazazi ambao mtoto akiwa anafanya vizuri sana darasani hata akiwa na tabia za ajabu ajabu kma vile wizi,ugomvi wanaona shega tu.

Hivyo hivyo pia anataka tupuuze suala zima la maadili kwa sababu tu ya ujio wa AI, yaan tuwaache tu mabinti wakengeuke na kufanya umalaya kabla ya ndoa halafu sisi tuwe bize na kuipokea AI aisee? Halafu eti anajiita msomi huyu..!? Anyang'anywe vyeti.

Nimeona hapo anatolea mfano wanawake wa kilokole wanaoshinda makanisani ambao hawana bikra, kwamba wanawake wale watakuwa ni wake bora kuliko mwanamke bikra kwa sababu tu hao walokole wamesamehewa dhambi zao... aisee kwa hii nadharia hapo jamaa ndio ametuthibitishia kuwa ni hamnazo na ni mshamba wa kutupwa kwa wanawake...

Hakuna wanawake wanafiki na vimeo kama hao wanawake wa kilokole, jamaa hajui hao wanawake wa kilokole wanaoshinda na kukesha makanisani huwa ni malaya wastaafu na pale makanisani huwa wanakuja kutafuta wanaume mazoba kama yeye ambao ndio retirement package.. yani yeye kwa ushamba na fikra zake ndogo anaona wale ni wake bora? halafu ana ujasiri wa kuita wengine washamba hasa wanaopenda mabikra? Jinga sana huyo.

Huyo daktari uchwara kwa comments zake hapa inaonesha wazi sio tu ameoa mwanamke ambaye hakumkuta bikra, bali ameoa single mother kabisa, na anachukia sana kuona kijana kma wewe unajitambua na hauko tayari kukosea kma yeye kwa kuoa mke wa mtu, kama alivyooa yeye.

Yes, siku zote mabraza ambao wameoa wake za watu(non virgin women) ndio huwa wanapata kisukari wakiona hizi mada zinazohusu bikra, huwa wanatamani kuona na vijana mnakosea kama wao na ndio maana wanakujaga na vikauli vya kifala ambavyo havina kichwa wala miguu mara ohoo sijui mara atakuwa malaya licha ya kumkuta bikra, sijui unaweza ukaoa bikra ila akawa hana akili sijui hajaenda shule... na blah blah kama hizo za kipuuzi.

Kwao wanaona ni bora kuoa malaya msomi kuliko kuoa mwanamke bikra asiyekuwa na elimu kubwa ambaye unaweza kumshape wewe mwenyewe unavyotaka...

Huyu daktari uchwara ameiaibisha sana taaluma ya udaktari kwa reasoning ya ovyo na ulimbukeni mkubwa alionaoa kwa wanawake, ni matumaini yangu sio daktari wa kweli huyo.
 
NE. A

NE.....A

NE.....A

MUNGU AKUTANGULIEEE
 
Maisha ni yako na maamuzi ni yako pia.
 
Mkuu nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe... very intelligent man, nimejifunza mengi kupitia hii comment yako
 
Back
Top Bottom