Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Pole mdogo wangu kwa changamoto unayopitia
Ila ungeomba kama kuna mtu anaweza kukusaidia ufanye mtihani huku unatafuta hela
Nakwambia hivi kwasababu inawezekan
 
Pole mdogo wangu kwa changamoto unayopitia
Ila ungeomba kama kuna mtu anaweza kukusaidia ufanye mtihani huku unatafuta hela
Nakwambia hivi kwasababu inawezekan
Uko sahihi kaka , sahiv nipo na frame tupu huko mwanza ....angalau ningekua mwanza ingekua rahisi lakin kwa hii distance ya dodoma na mwanza ngum sana kuaminika .....nmejaribu
 
Pole sana brother me na umri kama wako ndio nipo namaliza mwaka huu hapa UDOM ila cha moto nimekiona.

So understand your pain very well.
 
Mkuu achana nayo elimu sio Kila kitu utasoma baadae ukiwa na hela
 
Iba. Vaa reflector, shika POS, zunguka maduka ukiulizia leseni. Ukikuta hana mwambie alipie ila sema POS haina network so unaacha namba zako na majina.

Namba ambazo utaziditch baada ya kazi.

Ukitaka hata uache na kusoma simamisha na bajaji na bodaboda.
 
Nliwaza hili tayar😁😁
 
Pambana na hali yako ,maisha sio mepesi kiasi hicho.
 
Postpone semester sio lazima uendelee ,utarudi ukipata pesa.
 
We sema unaomba msaada wa kuchangiwa Ada ila kazi ya kukulipa ivo mzee Ngumu.
 
Tafuta namba ya millard Ayo akutangazie kwenye page yake labda utapata msaada.

To me naona watu wa JF hawapendi kujitolea sababu “binadamu anafanya ili aonekane “ Kule insta huwa naona watu wakichanga wanacopy na kupaste msg ya miamala kwenye comment labda inawasaidia kujisikia vizuri/kuonekana.

Wana JF tungefanya tonetone huyu mtu angefanya mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…