Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

Mtu akishapanick hua anaropoka ambayo aliyaficha bila kutarajia..

Nina Ndugu yangu aliuwawa tabata ikisingiziwa kajinyonga(jina kumbuka mwenyewe)kifo chake kili trend sana kama mna kumbukumbu

Aliachana na aliyezaa naye, ikawa wakigombana anamuambia
"kwanza mimi ndio najua baba wa mtoto ni nani"

Hio kauli asaivi ndio inaleta shidaa, Mama ndio huyo kafariki, baba akikumbuka mama alichokua anamuambia anaona kbsa huyu sio mwanae,
Baba kakaataa kumlea(hilo sio shida ndugu tunalea) ila mtoto anabaki yatima sasa ikiwa baba tunaimani yupo, Pengne ni mwingine lakini ndio hatutomjua daima, au ni huyu huyu ila aliongea kama kumuonesha dharau, maana kwa hilo halikua shida kwake.

Ni kitu inatuuma ukimuangalia yule mtoto.
 
Mdomo wa huyu mwanamke (mama wa mtoto) HUWEZII KABISAAA ni bomuuuu.

#YNWA
Unamwadhibu mtoto kwa mdomo wa mamaye?
Hivi ukimlea na mtoto akakua akitambua wewe ni babaye utapungukiwa nini?
Ukagundua sio mwanao pia utsongezewa nini?

Fanya kumtunza mtoto kama utumishi kwa Mungu.
Ukiwaza sana mambo haya utagundua umetanguliza ubinafsi.

Ni viumbe wachache watanielewa, wengine wataropoka tu.

Nhona nimwite afisa ustawi wa jamii #nyau# Joannah
 
Utumishi wa Mungu unahitaji hiari lakini siyo kwa kugeuzwa fala na mke wake kwenda kubeba mimba za wengine huko halafu akuletee ndani.
Sssa kuna haja ya kuwa na mtu unayemuita mke hapo? Si afadhali ungeenda labour ujitolee kuwasaidia wanawake waliotekelezwa na waume zao huku wakiwa na uhitaji?
 
Njia ya pili ni kweli.

Asitarajie majibu ya tofauti akipitia mahakamani, huwa wanazingatia ustawi wa jamii.

Hatopewa majibu mengine zaidi ya kuambiwa ni mtoto wake. Lengo ni kuepusha watoto wa mitaani na wasio na wazazi.

Majibu mazuri ya DNA ni Kwa Nchi za wenzetu uko. Kwa Bongo Bado sababu za kiuchumi na Hali ya maisha kwa ujumla. Wanajitahidi kuepusha watoto WA mitaani wasio na wazazi.
 

Watoto wangu kila mmoja na mama yake.
 
Huyu si mke wake.
Huyu Liverpool VPN ni jamii ya #kataandoa#
 
Huyu si mke wake.
Huyu Liverpool VPN ni jamii ya #kataandoa#
Kama ni mtoto wa kuokota hapo sawa. Huyo kama uwezo unamruhusu na kama haitamletea shida kwenye ndoa yake anaweza tu akamlea as long as hana tena time na huyo Mwanamke.

Hao watoto wa hivyo mimi nalea kiroho safi kabisa. Mradi asiwe mtoto wa mke wangu aliyempata kwenye uchepukaji wake
 
So Diamond alibambikiziwa kwa Mobeto?
Maana jamaa amegoma kabisa kumtambua huyo mtoto
 
Mnasema mnakataa ndoa sasa imekuwaje na 😅😅wewe huna Ndoa?
 
Kwa mujibu wa maandishi ya Liverpool VPN sio muumini wa ndoa kama hadanganyi hapa
 
So Diamond alibambikiziwa kwa Mobeto?
Maana jamaa amegoma kabisa kumtambua huyo mtoto
Sasa angefanyaje wakati wakipishana kidogo du Dem anakimbilia kump post mtoto wake na wanaume wengine aliopita nao?
 
Mtoto wa kuchukua na kusaidi kule kiroho safi kwa sababu ni maamuzi yako. Sasa hawa wengine wakubambikia unaambiwa wako kumbe una hentya bure tu kuna mwamba analala kiulaini ana kuona wewe fala tu.
 
Sasa wewe una uhakika gani kama hiyo mimba yako
mwenyewe ndio aliniambia. Hakua na sababu ya kuniongopea kwa kuwa mimi sikuwa na mipango nae yoyote alafu choka mbaya tu tofauti na jamaa yake ambae wana mipango ya kuoana na yupo vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…