Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

Mimi mwenyewe nishatia mimba demu wa mtu alafu nikamwambia mpe huyo jamaa yako.

Kifupo tu kuwa makini na wanawake hasahasa kwenye mimba. Kuwa makini mno, wengi wanalea Watoto sio wao
Inauma sana lakini
 
Mtoto wa kuchukua na kusaidi kule kiroho safi kwa sababu ni maamuzi yako. Sasa hawa wengine wakubambikia unaambiwa wako kumbe una hentya bure tu kuna mwamba analala kiulaini ana kuona wewe fala tu.
Huyo anamlea kwa sababu kwanza anajua deep down kuwa siyo wa kwake, asilee kwa kubambikiwa.
Anamlea kama mtoto wa rafiki yake tu.
So jamaa kwanza atafute ukweli kuhusiana na mtoto, akishaujua na mama wa mtoto akiwa anajua ndipo aendelee kusaidia.
 
Sasa angefanyaje wakati wakipishana kidogo du Dem anakimbilia kump post mtoto wake na wanaume wengine aliopita nao?
Wanawake wajinga hawanaga nafasi kwangu.
Uswahili huo siutakagi wala sisamehi mjinga kama huyo
 
Wanawake wajinga hawanaga nafasi kwangu.
Uswahili huo siutakagi wala sisamehi mjinga kama huyo
Ingawa inasemrkana walishapima DNA ma kuonekana mtoto ni wajamaa. Ila hizi mambo za wakipishana ana post ikamlazima jamaa atafute ukweli kwa kwenda kivingine na kupima kwingine ndipo akaliona picha lote lilivyo😃.
Hii ikamstua hata yule mkuu wenu wa wilaya mwenye akili nyingi kuliko vijana wote mchini ma mwenye demu mkali na mwenye akili kuliko madem wote nchini. Yeye pia akalazimika kupima upya kwingine, majibu kutoka hola ma yeye mtoto siyo wake na hapo amesham post sana kwenye mitandao yote anayoimiliki hapa dunoani.
Kumbe kibongobongo kuna kiji kampeni cha siri kuwa ni marufuku kutoa majibu ya DNA yanayoonyesha kuwa mtoto si wababa.

So siku hizi masela wanakata kucha ya mtoto au nywele unaweza ukadhani wanaenda kwa mganga, kumbe haoo wanasepea Nairobi, wakitoka huko tayari majibu ya kweli wanayo😄
 
Niko tayari kuupokea ukweli.
Usijali.
Na isitoshe hata akiwa sio wangu nitaendelea kuwa nae.

Kinacho nitatiza ni mdomo wa mama ake.

#YNWA
Mtu anapokasirika ndio husema ukweli,nimekuelewa vizuri sana huo mdomo wa Mama yake hua anasema maneno gani,

Mpaka hapo kwa mtazamo wangu 90% sio mwanao ila hiyo 10% iliyobaki ndio yakujiridhisha kwa Scientific evidence.
 
Kucha inatosha kuonyesha dna mkuu?
 
Tabu yote hii imeletwa na jamii iliyoelimika kuamini mafunzo yote ya jando na unyago ni haramu. Tumestawisha kizazi kisicho na maadili. Kizazi kinacgoongozwa na mob psychology. Kufanya ngono kabla ya ndoa ndo matokeo ya akili nyingi kuharamisha mila na desturi.

Haya yote mchawi ni wapuuzi wanaopinga mila na desturi
 
Oyaa Lea huyo mtoto atakuja kuwa mtu mkubwa sana Siku za baadae watoto wanaopitia changamoto kama hizo ni madini sana baadae atakuja kukulea huyo mpaka ushangae
 
Mimi ningependa kukutaarifu "Before it's to let" inahitajika laki tatu tu na facilitation ya afisa ustawi wa jamii kukamilisha hili jambo.
 
mwenyewe ndio aliniambia. Hakua na sababu ya kuniongopea kwa kuwa mimi sikuwa na mipango nae yoyote alafu choka mbaya tu tofauti na jamaa yake ambae wana mipango ya kuoana na yupo vizuri sana
kwahiyo umejiridhisha ni yako kwa kuwa wewe ni choka mbaya, bado hujawajua wanawake
 
NAKUSHAURI HATA HUYO MWINGINE UKAMPIME DNA PIA,DUNIA INA MAAJABU MENGI,
 
Tumia njia rahisi ya kupima group la damu, group la damu la mtoto lazima lifanane na wazazi wake.......anzia hapo kwanza kukamata mwizi kabla ya kwenda kwenye DNA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…