Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

Ni muda muafaka wa kujadiliana nae juu ya swala kupeleka mali kwao umuweke ndani
 
Nashindwa kuelewa alikojoaje na bado akaendelea kukeep namba yake afu leo anaongea vitu visivyoeleweke, hataki haya angeacha uzinzi mpka ampate yule ambae ni sent from heaven
Kuna wanaume wana wazimu sana, why hawapo selective? Hawajui kukataa?

No wonder haka Copa Cabana anadhani kila Ke hajuagi kusema no mbele ya hela.
 
90% ya komekti ni za kunipopoa[emoji17]
What kind of advice do you want bro? She was fine when you got horny halafu aaa hii uje na sababu ya kusema ni ana sura mbaya ... Motherhood is beyond one's physical appearance so let her carry your baby and you be a man as you're supposed to be.. Provide for her & pay her the attention she deserves .. weka utoto kando, infact waswahili husema utu uzima unakuja na majukumu na si Kwa ngoma..
 
 
Siku zote unavuna ulichopanda, hauna budi kutake responsibility, ishatokea hyo.
 
Beba hilo zigo lako ulilopewa na Mungu, unataka nani abebe na kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.
 
Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
punguza kupupulika na wanawake kijana fanya vitu vya maana kwanza wanawake wapo TU.
 
Umemuita ni MPENZI wako halafu unajidai kumkataa kispoti? Ninyi vijana sampuli yenu ni wa kutandikwa viboko vingi sana na kifungo miezi sita gerezani, mlo wa uji mara moja kwa siku na kupatiwa elimu ya kujitambua kwa lazima.
 
Umemuita ni MPENZI wako halafu unajidai kumkataa kispoti?Ninyi vijana sampuli yenu ni wa kutandikwa viboko vingi sana na kifungo miezi sita gerezani,mlo wa uji mara moja kwa siku na kupatiwa elimu ya kujitambua kwa lazimaSikuandi
Sikuandika hivyo. Mods wamehariri
 
Mimba day one?
inatokea ila chance ni ndogo ukilinganisha na status yake ulioisema huenda sio kweli ila anataka tu pesa
au alikuwa nayo then kafanya kujitegesha mimba ipate mlezi
Na kama ameipata Siku around ya mlizo kutana kimwil akikazia itakuw n ngumu sana kumkwepa au kukataa

by then partenity test n gharama, but if you can afford do it however nowadays they even cheat on this
Shda utakua ushalea mimba sasa
 
Sawa
Sawa, ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…