Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,270
Kwa hiyo waliokosea hawapaswi kujuliwa hali pia?Makamu wa Rais kajizalilisha mno I thought yuko smart kumbe naye wale wale hafu siku ukimuona kanisani utasema ni malaika.
Unaletaje udini kwenye hii issue? Mapadri wa kikatoliki wameingiaje kwenye suala kama hili,iwapo kwa mtazamo wako kila mwanajukwaa akiwa anatoa mawazo ya kipuuzi kama haya kutakalika kweli? Kama masheikh wenu wakianza kudhalilishwa kama unavyofawachukulia mapadri wa kikatoliki itakuwaje??Hivi huoni hata aibu kuandika hii thread? Hakutakiwa hata kutembelewa na makamu wa rais, yule ni mtovu wa maadili. Ameshaharibu gari ya serikali kwa ufuska wake, halafu serikali itoe pole. Rais alitakiwa ameshateua naibu mwingine na kumpuuza huko hospitalini apambane na hali yake. Baba wa Taifa ktk moja ya hotuba zake alituambia kiongozi wa serikali hatakiwi kuwa na maadili ya kutiliwa shaka yoyote. Alitoa mfano wa Uingereza kuwa kulikuwa na waziri moja mdogo alionekana akitembea na kimwana mjini London, wananchi walipopiga kelele yule waziri aliandika barua ya kujiuzulu na waziri mkuu wa Uingereza wa wakati ule hata hakumjibu aliteua mtu mwingine kuwa waziri alimpuuza tu. Sasa hawa wa kwetu eti makamu wa rais anaeenda kumpa pole hospitalini.
Nimemdharau sana huu makamu wa rais anaongea kwa sauti wa unyenyekevu kumbe unafki tu, ni km mapadre wa kanisa katoliki wanaongeaga kwa sauti fulani ya unyenyekevu sasa nenda kafuatilie matendo yao mitaani, ni washenzi, na usisahau naye ni mkatoliki. Ngoja tuone akipona km ataendelea na nafasi yake ndio tutajua hii ni serikali ya manguruwe tu haina maadili yoyoye na wananchi wataidharau sana.
Tumekusikia SheheHivi huoni hata aibu kuandika hii thread? Hakutakiwa hata kutembelewa na makamu wa rais, yule ni mtovu wa maadili. Ameshaharibu gari ya serikali kwa ufuska wake, halafu serikali itoe pole. Rais alitakiwa ameshateua naibu mwingine na kumpuuza huko hospitalini apambane na hali yake. Baba wa Taifa ktk moja ya hotuba zake alituambia kiongozi wa serikali hatakiwi kuwa na maadili ya kutiliwa shaka yoyote. Alitoa mfano wa Uingereza kuwa kulikuwa na waziri moja mdogo alionekana akitembea na kimwana mjini London, wananchi walipopiga kelele yule waziri aliandika barua ya kujiuzulu na waziri mkuu wa Uingereza wa wakati ule hata hakumjibu aliteua mtu mwingine kuwa waziri alimpuuza tu. Sasa hawa wa kwetu eti makamu wa rais anaeenda kumpa pole hospitalini.
Nimemdharau sana huu makamu wa rais anaongea kwa sauti wa unyenyekevu kumbe unafki tu, ni km mapadre wa kanisa katoliki wanaongeaga kwa sauti fulani ya unyenyekevu sasa nenda kafuatilie matendo yao mitaani, ni washenzi, na usisahau naye ni mkatoliki. Ngoja tuone akipona km ataendelea na nafasi yake ndio tutajua hii ni serikali ya manguruwe tu haina maadili yoyoye na wananchi wataidharau sana.
Kupima uwezo binafsi katika tendoYeye alikuwa anatoka kukagua mradi upi? Kikao kipi?
hahaha we acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan huyu naibu waziri kaniacha hoii. Lol
Akili ndogo Ajali ya waziri anatajwa Lema kweli ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Lema: Kazi ya Bodaboda ni laana
Kwa Dr Kigwangalla alisingiziwa Twiga
Kwa Dr wa Uchumi alisingiziwa Punda
Ukute alikuwa kujivinjari na Vieteli kinyume na utaratibuViongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya.
Sidhani kama inaleta afya, inaonyesha kama ametengwa.
Tujitahidi kuondoa double standard Kwa Sababu angekuwa anatoka miongoni mwa zile big eighty families lazima viongozi wote wangepost, Ila Kwa Sababu kapenya kutokea Kwa mkulima kuja kuwa Naibu waziri no one cares.
Tunayo mifano mingi ya ajali za viongozi na namna zilivyoripotiwa ila hii hapana. Tuweke usawa hata Kwa unafiki. hata tovuti ya wizara imedelay Sana ikiwemo Bunge.
Zaidi, soma: Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange, apata ajali ya gari
Mboni picha zote zinaonesha Yuko BMH DomKwamba kavunjika kiuno na amelazwa Muhimbili ndio Ukweli?
Ametajwa Bodaboda Akili ndogo huwezi fumbua!Akili ndogo Ajali ya waziri anatajwa Lema kweli ?
Ndio sababu polisi wamezuia Uzushi!Mboni picha zote zinaonesha Yuko BMH Dom
Hakuna uzushi mbona haijawa rasmi kama wengine? Imetafutwa statement Ili ionekane mambo poa..Ndio sababu polisi wamezuia Uzushi!
Kuna sheria inayozuia Mawaziri kutembea usiku?Hakuna uzushi mbona haijawa rasmi kama wengine? Imetafutwa statement Ili ionekane mambo poa..
Usiku wa manane alikuwa anatoka wapi?
Ndio ipo,kama sio ishu ya kiserikali marufuku kutumia Mali ya Umma kwenye issue binafsi sio tuu usiku wakati wowoteKuna sheria inayozuia Mawaziri kutembea usiku?
Hata mgambo wakifanya uchunguzi jibu ni lile lile, waziri kaliabisha Taifa kwa ufuska, kifo na hasara ya mali ya serikali!π
Uchunguzi ufanywe na Polisi wa Nje?
Dereva alikuwa wapi siku ile? Kwanini dereva hakupangiwa kuendesha?
Askari wa Barabarani walikuwa wapi? Kuna CCTV? nani aliwaondoa barabarani?
Aliyeenda kumuona ni Makamu... ndie aliyeenda peke yake, lazima kuna ukatili hukoπ€ au ndio maaigizo kutoka juu?
Yani mambo haya, kha Aisee
Pole zake yeye Taifa, Familia, Familia, Sirikali.
π π π§π§π§π€
16%
Heri Hilo tukio wangepiga tu kimya kimya kuliko hyo kwenda kimya kimya Sasa inaonyesha ana support uvunjifu wa maadili Sasa hapo funzo watu si wataona it's okay kufanya madudu maana bado nitapata support, pia serikali imefanya cover up ya uongo so Ina support matendo ya uvunjifu maadiliKwa hiyo waliokosea hawapaswi kujuliwa hali pia?
Au unataka kumaanisha kwamba kwa vile makamu wa Rais kaenda kumjulia hali, ndo basi tena hawezi kuwajibishwa kwa ufuska wake aliofanya?
Mi nadhani nchi yetu ni moja kati ya nchi zenye mifumo bora kabisa duniani.
Hivyo, kikubwa wafanye uchunguzi, ikibainika kama kweli alikuwa kwenye mambo yake ya kibinafsi kwa kutumia gari la serikali, basi awajibishwe.
Kukagua papuchiAlikuwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya Wananchi?
Mfano :
Kigwangala alikua na ziara ya kiserikali mbugani.
Yeye alikuwa anatoka kukagua mradi upi? Kikao kipi?