Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

Makamu wa Rais kajizalilisha mno I thought yuko smart kumbe naye wale wale hafu siku ukimuona kanisani utasema ni malaika.
Kwa hiyo waliokosea hawapaswi kujuliwa hali pia?
Au unataka kumaanisha kwamba kwa vile makamu wa Rais kaenda kumjulia hali, ndo basi tena hawezi kuwajibishwa kwa ufuska wake aliofanya?
Mi nadhani nchi yetu ni moja kati ya nchi zenye mifumo bora kabisa duniani.
Hivyo, kikubwa wafanye uchunguzi, ikibainika kama kweli alikuwa kwenye mambo yake ya kibinafsi kwa kutumia gari la serikali, basi awajibishwe.
 
Hivi huoni hata aibu kuandika hii thread? Hakutakiwa hata kutembelewa na makamu wa rais, yule ni mtovu wa maadili. Ameshaharibu gari ya serikali kwa ufuska wake, halafu serikali itoe pole. Rais alitakiwa ameshateua naibu mwingine na kumpuuza huko hospitalini apambane na hali yake. Baba wa Taifa ktk moja ya hotuba zake alituambia kiongozi wa serikali hatakiwi kuwa na maadili ya kutiliwa shaka yoyote. Alitoa mfano wa Uingereza kuwa kulikuwa na waziri moja mdogo alionekana akitembea na kimwana mjini London, wananchi walipopiga kelele yule waziri aliandika barua ya kujiuzulu na waziri mkuu wa Uingereza wa wakati ule hata hakumjibu aliteua mtu mwingine kuwa waziri alimpuuza tu. Sasa hawa wa kwetu eti makamu wa rais anaeenda kumpa pole hospitalini.

Nimemdharau sana huu makamu wa rais anaongea kwa sauti wa unyenyekevu kumbe unafki tu, ni km mapadre wa kanisa katoliki wanaongeaga kwa sauti fulani ya unyenyekevu sasa nenda kafuatilie matendo yao mitaani, ni washenzi, na usisahau naye ni mkatoliki. Ngoja tuone akipona km ataendelea na nafasi yake ndio tutajua hii ni serikali ya manguruwe tu haina maadili yoyoye na wananchi wataidharau sana.
Unaletaje udini kwenye hii issue? Mapadri wa kikatoliki wameingiaje kwenye suala kama hili,iwapo kwa mtazamo wako kila mwanajukwaa akiwa anatoa mawazo ya kipuuzi kama haya kutakalika kweli? Kama masheikh wenu wakianza kudhalilishwa kama unavyofawachukulia mapadri wa kikatoliki itakuwaje??
UPUUZI WAKO UKOME KABISA!
 
Hivi huoni hata aibu kuandika hii thread? Hakutakiwa hata kutembelewa na makamu wa rais, yule ni mtovu wa maadili. Ameshaharibu gari ya serikali kwa ufuska wake, halafu serikali itoe pole. Rais alitakiwa ameshateua naibu mwingine na kumpuuza huko hospitalini apambane na hali yake. Baba wa Taifa ktk moja ya hotuba zake alituambia kiongozi wa serikali hatakiwi kuwa na maadili ya kutiliwa shaka yoyote. Alitoa mfano wa Uingereza kuwa kulikuwa na waziri moja mdogo alionekana akitembea na kimwana mjini London, wananchi walipopiga kelele yule waziri aliandika barua ya kujiuzulu na waziri mkuu wa Uingereza wa wakati ule hata hakumjibu aliteua mtu mwingine kuwa waziri alimpuuza tu. Sasa hawa wa kwetu eti makamu wa rais anaeenda kumpa pole hospitalini.

Nimemdharau sana huu makamu wa rais anaongea kwa sauti wa unyenyekevu kumbe unafki tu, ni km mapadre wa kanisa katoliki wanaongeaga kwa sauti fulani ya unyenyekevu sasa nenda kafuatilie matendo yao mitaani, ni washenzi, na usisahau naye ni mkatoliki. Ngoja tuone akipona km ataendelea na nafasi yake ndio tutajua hii ni serikali ya manguruwe tu haina maadili yoyoye na wananchi wataidharau sana.
Tumekusikia Shehe
 
Angekuwa kapata ajali kwenye mazingira ya kikazi au ya kawaida yasiyogubikwa na kashfa hizo pole zingetolewa tu na TV zote zingerusha. Kutoa pole au kutangaza ishu iliyogubikwa na kashfa unakuwa humsaidii huyo mtu zaidi ya kufanya hiyo kashfa yake ijulikane kila kona ya dunia.
 
Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya.

Sidhani kama inaleta afya, inaonyesha kama ametengwa.

Tujitahidi kuondoa double standard Kwa Sababu angekuwa anatoka miongoni mwa zile big eighty families lazima viongozi wote wangepost, Ila Kwa Sababu kapenya kutokea Kwa mkulima kuja kuwa Naibu waziri no one cares.

Tunayo mifano mingi ya ajali za viongozi na namna zilivyoripotiwa ila hii hapana. Tuweke usawa hata Kwa unafiki. hata tovuti ya wizara imedelay Sana ikiwemo Bunge.

Zaidi, soma: Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange, apata ajali ya gari
Ukute alikuwa kujivinjari na Vieteli kinyume na utaratibu
 
😅
Uchunguzi ufanywe na Polisi wa Nje?
Dereva alikuwa wapi siku ile? Kwanini dereva hakupangiwa kuendesha?
Askari wa Barabarani walikuwa wapi? Kuna CCTV? nani aliwaondoa barabarani?
Aliyeenda kumuona ni Makamu... ndie aliyeenda peke yake, lazima kuna ukatili huko🤭 au ndio maaigizo kutoka juu?

Yani mambo haya, kha Aisee
Pole zake yeye Taifa, Familia, Familia, Sirikali.

😅😅🧐🧐🧐🤭

16%
Hata mgambo wakifanya uchunguzi jibu ni lile lile, waziri kaliabisha Taifa kwa ufuska, kifo na hasara ya mali ya serikali!
 
Muhimu katika maisha ya mwanadamu ni uhai na afya njema; haya mengine sijui amepostiwa na nani, ametembelewa na nani, au atapoteza cheo hayana umuhimu katika maisha ya mwanadamu.
 
Ameliabisha taiga, amemuabisha raisi, ameiabisha familia yake,ametuaibisha wanaume wote, asingekimbia hayo yasingetokea na pengine tusingejua, halafu wenzake wanapandaga ndege na michepuko, pili imemuharibia ndoto zake za baadaye hawezi kuja kuwa kiongozi mkubwa zaidi ya hapo
 
Kwa hiyo waliokosea hawapaswi kujuliwa hali pia?
Au unataka kumaanisha kwamba kwa vile makamu wa Rais kaenda kumjulia hali, ndo basi tena hawezi kuwajibishwa kwa ufuska wake aliofanya?
Mi nadhani nchi yetu ni moja kati ya nchi zenye mifumo bora kabisa duniani.
Hivyo, kikubwa wafanye uchunguzi, ikibainika kama kweli alikuwa kwenye mambo yake ya kibinafsi kwa kutumia gari la serikali, basi awajibishwe.
Heri Hilo tukio wangepiga tu kimya kimya kuliko hyo kwenda kimya kimya Sasa inaonyesha ana support uvunjifu wa maadili Sasa hapo funzo watu si wataona it's okay kufanya madudu maana bado nitapata support, pia serikali imefanya cover up ya uongo so Ina support matendo ya uvunjifu maadili
 
Back
Top Bottom