PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mshahara pamoja na ma sitting allowance na travelling allowance kwa mwezi ni milioni 18. Tuseme 20.
20M X 12 X 5 years = 1.2 billion TSH

Kiiunua mgongo milion 200

Jumla 1.4 bilion kwa miaka 5

Zinafikaje bilioni 10 ?
Huna taarifa sahihi, kuzungukia miradi kwenye kamati mbalimbali, bunge la budget siku x 560,000 sawa na shs ngapi? kamati za bunge siku 14 x 560,000 bado mkopo wa hazina bilioni 1 unalipa milioni 500, rushwa, safari za nje? mafunzo kwenye bodi mbalimbabli? vikao vya DCC/RCC?
 
Ataishia kuyaondoa hayo maneno hakuna kitakachoendelea..
 
Mbogo anae tajwa humu ni yule mbunge wa nkasi kaskazini/kusini?
Yule kweli hadi kampeni alifanyiwa na jiwe akitokea ikulu kama ni yeye.
 
binafsi sijasikia sehem akisema atapoteza watu
 
CCM kumejaa majinga majinga tu
 
Pia soma Uchaguzi 2020 - Asanteni sana Kamati Kuu ya CCM kutuletea Deus Sangu jimbo la Kwela - Rukwa
 
Kama ni kweli atakuwa kajipa ajali ya kisiasa. Ila siku hizi pia kuna AI inaweza tengenezwa clip ya kumchafua
 
Mbogo anae tajwa humu ni yule mbunge wa nkasi kaskazini/kusini?
Yule kweli hadi kampeni alifanyiwa na jiwe akitokea ikulu kama ni yeye.
Jiwe aliharibu sana bunge la nchi yetu, historia haitamuandika vizuri jinsi alivyovuruga demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…