Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Wewe kama mie, niliangalia nikaona aibu nikabadili chaneli kidogo. Ukweli kabisa!
 
Siamini kuwa hajui kusoma,kikubwa ni kupanic au kuna michezo ya ushirikina kachezewa na maadui zake,ni matumaini yangu Mh.raisi ataweza kubatilisha maamuzi yake kama itagundulika kuwa si tatizo la elimu yake...
 
Naibu waziri aliyeshindwa kuapa ameambiwa nafasi yake atachaguliwa mtu mwingine na yy atabaki kuwa mbunge tu.
Kwa maoni yangu si SAHIHI kumpiga mtu chini.Tuliofanya mitihani ya oral hilo ni jambo la kawaida kabisa.Na kwa kuwa huu haukuwa mtihani nilitegemea apewe muda awe composed.Kuapa mbele ya Magufuli kunahitaji makamanda kama sie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…