Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu kama huyo hata mkewe anaweza kumpa adhabu ya kumnyima unyumba wiki mwaka mzima,

Huyu mwanaume mwenzetu kayumba sana
Nyinyi washirikina wakubwa, huyo jamaa alikuwa ni mkurugenzi wa Halmashauri, mambo ya viapo haya kwake ni vitu vidogo sana.
 
Ndio maana nauliza wadau nani kaumbuka zaidi? Maana nasikia huwa wanafanyiwa vetting.
 
Mie ndo hata sielewi kabisaaaah, ila poleeeh yake. Kakosa shangingi na mafwedha simple tyuuuh yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tatizo ni watu wengine hawajazoea kukutana na mungu wa chato uso kwa macho
 
Ha ha hah yaani watu hapo juu wana mind ukileta habari za kudodosa siasa.
 

Hapo sasa, halafu tunaambiwa kulikuwa na umakini mkubwa kwenye uteuzi wa mawaziri. Ifahamike pia walipitia mchakato wa ubunge!
 
Nyinyi washirikina wakubwa, huyo jamaa alikuwa ni mkurugenzi wa Halmashauri, mambo ya viapo haya kwake ni vitu vidogo sana.
tusameheni bure, babu zetu ndio wameturidhisha haya mambo, tunatamani tuwe kama watu wa kaskazini , Wachagga na wameru, haya mambo hawana na ndiyo maana wana maendeleo.
 
Kushinda uchaguzu kwa hila ndiyo matokeo yake haya
 
Huyo jamaa kafunga mwaka 2020 kwa hicho kituko chake.....hata hiyo kazi ya ubunge hataifanya kwa weledi.....huyu jamaa anahitaji uangalizi mkubwa sana maana anaweza kujinyonga

Emire Durkheim concept yake ya Suicide inanionyesha ivyo........
You are very right ..Alikuwa na hofu...kwa maoni yangu Rais angevumilia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…