Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu kama huyo hata mkewe anaweza kumpa adhabu ya kumnyima unyumba wiki mwaka mzima,

Huyu mwanaume mwenzetu kayumba sana
Nyinyi washirikina wakubwa, huyo jamaa alikuwa ni mkurugenzi wa Halmashauri, mambo ya viapo haya kwake ni vitu vidogo sana.
 
Yule jamaa kashindwa kusoma, ni kama alikuwa amekariri hivi, sasa alipopewa nafasi ya kusoma akashindwa.

Okay, let assume ilikuwa ni woga tu.
Sasa kwanini Rais atilie mashaka elimu yake kiasi cha kuona kuna ulazima kuchunguza vyeti vyake?
Kwani kabla ya kuteuliwa hakuchunguzwa?
Ndio maana nauliza wadau nani kaumbuka zaidi? Maana nasikia huwa wanafanyiwa vetting.
 
Mie ndo hata sielewi kabisaaaah, ila poleeeh yake. Kakosa shangingi na mafwedha simple tyuuuh yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.

Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
tatizo ni watu wengine hawajazoea kukutana na mungu wa chato uso kwa macho
 
Ha ha hah yaani watu hapo juu wana mind ukileta habari za kudodosa siasa.
 
Yule jamaa kashindwa kusoma, ni kama alikuwa amekariri hivi, sasa alipopewa nafasi ya kusoma akashindwa.

Okay, let assume ilikuwa ni woga tu.
Sasa kwanini Rais atilie mashaka elimu yake kiasi cha kuona kuna ulazima kuchunguza vyeti vyake?
Kwani kabla ya kuteuliwa hakuchunguzwa

Hapo sasa, halafu tunaambiwa kulikuwa na umakini mkubwa kwenye uteuzi wa mawaziri. Ifahamike pia walipitia mchakato wa ubunge!
 
Nyinyi washirikina wakubwa, huyo jamaa alikuwa ni mkurugenzi wa Halmashauri, mambo ya viapo haya kwake ni vitu vidogo sana.
tusameheni bure, babu zetu ndio wameturidhisha haya mambo, tunatamani tuwe kama watu wa kaskazini , Wachagga na wameru, haya mambo hawana na ndiyo maana wana maendeleo.
 
Hii sasa ni kali.

Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"

Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.

Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!

Maendeleo hayana vyama!
Kushinda uchaguzu kwa hila ndiyo matokeo yake haya
 
Huyo jamaa kafunga mwaka 2020 kwa hicho kituko chake.....hata hiyo kazi ya ubunge hataifanya kwa weledi.....huyu jamaa anahitaji uangalizi mkubwa sana maana anaweza kujinyonga

Emire Durkheim concept yake ya Suicide inanionyesha ivyo........
You are very right ..Alikuwa na hofu...kwa maoni yangu Rais angevumilia...
 
Back
Top Bottom