kingmagoha
Member
- Oct 9, 2020
- 15
- 16
Francis Kumba Ndulane alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Ifakara.
Hiyo masters kaipata Mzumbe main campus Morogoro
Hiyo masters kaipata Mzumbe main campus Morogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!....
Nyinyi washirikina wakubwa, huyo jamaa alikuwa ni mkurugenzi wa Halmashauri, mambo ya viapo haya kwake ni vitu vidogo sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu kama huyo hata mkewe anaweza kumpa adhabu ya kumnyima unyumba wiki mwaka mzima,
Huyu mwanaume mwenzetu kayumba sana
Ndio maana nauliza wadau nani kaumbuka zaidi? Maana nasikia huwa wanafanyiwa vetting.Yule jamaa kashindwa kusoma, ni kama alikuwa amekariri hivi, sasa alipopewa nafasi ya kusoma akashindwa.
Okay, let assume ilikuwa ni woga tu.
Sasa kwanini Rais atilie mashaka elimu yake kiasi cha kuona kuna ulazima kuchunguza vyeti vyake?
Kwani kabla ya kuteuliwa hakuchunguzwa?
Sasa mbona kashindwa kuapa?Nyinyi washirikina wakubwa, huyo jamaa alikuwa ni mkurugenzi wa Halmashauri, mambo ya viapo haya kwake ni vitu vidogo sana.
tatizo ni watu wengine hawajazoea kukutana na mungu wa chato uso kwa machoHii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.
Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
Yule jamaa kashindwa kusoma, ni kama alikuwa amekariri hivi, sasa alipopewa nafasi ya kusoma akashindwa.
Okay, let assume ilikuwa ni woga tu.
Sasa kwanini Rais atilie mashaka elimu yake kiasi cha kuona kuna ulazima kuchunguza vyeti vyake?
Kwani kabla ya kuteuliwa hakuchunguzwa
Hakuna kitu kama hicho? Mtuhumiwa mahakamani tu hasomi kiapo lakini anapatia.ANXIETY DISORDER hyo apelekwe hospitali tatizo la saikolojia
tusameheni bure, babu zetu ndio wameturidhisha haya mambo, tunatamani tuwe kama watu wa kaskazini , Wachagga na wameru, haya mambo hawana na ndiyo maana wana maendeleo.Nyinyi washirikina wakubwa, huyo jamaa alikuwa ni mkurugenzi wa Halmashauri, mambo ya viapo haya kwake ni vitu vidogo sana.
Amekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Ifakara, think twice majukumu ya mkurugenzi.Atakuwa aidha ni kihiyo au ana ugonjwa wa macho. Yote hayo yanamfanya kuwa si mtu sahihi wa kuchunga madini yetu yasiendelee kuporwa na wajanja.
Duh!Labda hiyo kazi kuna mtu anaitaka ikabidi amrushie kipapai.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kushinda uchaguzu kwa hila ndiyo matokeo yake hayaHii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
kati ya kigwangala na mpina moja ata ulaLabda hiyo kazi kuna mtu anaitaka ikabidi amrushie kipapai.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Face to face zero distance sio mchezotatizo ni watu wengine hawajazoea kukutana na mungu wa chato uso kwa macho
Kwanini tena?CCM hopeless kabisa
Kigwa mzee wa Instagram hawezi teuliwakati ya kigwangala na mpina moja ata ula
You are very right ..Alikuwa na hofu...kwa maoni yangu Rais angevumilia...Huyo jamaa kafunga mwaka 2020 kwa hicho kituko chake.....hata hiyo kazi ya ubunge hataifanya kwa weledi.....huyu jamaa anahitaji uangalizi mkubwa sana maana anaweza kujinyonga
Emire Durkheim concept yake ya Suicide inanionyesha ivyo........