Nimesema sisi tunapoteza muda kwa kujadili hili..ni suala la mteule na mteuliwa. Sana Sana sisi kiubinadam tunamuonea huruma tu tungemuomba mheshimiwa Rais ampe nafasi zaidi.Kwa nini tena kuhoji elimu yake na kumtumbua? Kwa nini asipewe muda ili aape tena?
Jamaa ana stress za uchaguzi hazijamuisha msamehe bureHabari za kuwa Ccm haikushinda zinatoka wapi?
ukiachana na ID yako na zungumzia ufalme uliofitinika utawala wa jiweSijakuelewa..eleza facts zinazohusiana andiko
Unawaza hao? Mkeo utamuambia nini akuelewe?Ameshatenguliwa tayari,waallah uchawi upo,hicho kipapai alichopigwa ni kiboko
Hiyo aibu najaribu kuvaa viatu vyake naona havienei kabisa.Ndugu jamaa na familia utawatizama vipi.
Sijakuelewa.Nimesema sisi tunapoteza muda kwa kujadili hili..ni suala la mteule na mteuliwa. Sana Sana sisi kiubinadam tunamuonea huruma tu tungemuomba mheshimiwa Rais ampe nafasi zaidi..masuala haya huwa mengi yanapita na wakati binadamu wengine huko wanaweza kuwa wametengeneza yao ili tu kumkwamisha katika Hilo..kea elimu aliyonayo namshauri Mh Rais aendelee kumtumia Kama alivyokuwa amepanga...inawezekana Ni sauti ya Mungu kwayeye kupewa nafasi ile...Mh.Rais ampime kwa utendaji wake wa mbeleni..
Kwamba imekuwaje...eleza jomba usikike..sasa mbona unaandika Kama unakimbizwa...ukiachana na ID yako na zungumzia ufalme uliofitinika utawala wa jiwe
Zinatoka hapa hapa nchini.Habari za kuwa Ccm haikushinda zinatoka wapi?
Urais ni taasisi na hateui mtu mmoja pekee. Rais atashauriana na waziri mkuu...Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!
Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sinawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!
Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!
Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?
Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka
Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
Kwa hiyo taasisi nzima ya urais imeumbuka? Au ?Urais ni taasisi na hateui mtu mmoja pekee. Rais atashauriana na waziri mkuu...
Kwani wakati anamteuwa hakuangalia CV zake?Huyo ndo Magufuli bana..
Hilo ni jambo la kawaida hutokea kwa wanadamu wengi, kuna rais wa Marekani ilimtokea miaka ya nyumaHii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.
Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
Kachukizwa kutoweza kuapa, kamtia aibuKwani wakati anamteuwa hakuangalia CV zake?
Mahaba ya kifamba hayo
Kwa hili asifiwe au apuuzwe?Huyo ndo Magufuli bana..
Ndio uchawi wanaotumia wanasiasa wa Lindi kuna mwingine wa UVCCM toka Lindi yalimtokeaDah aisee uchawi upo, unaona maandishi yamepandana mpaka unashikwa kigugumizi. Walimwengu washafanya yao.
Serikalini katika nyadhifa za juu usipokuwa mtu wa kimila hutoboi!
Asifiwe, ndo nini kumtia aibu hivyo mbele ya kadamnasi. Hataweza kusimamia wizara nyeti ya madiniKwa hili asifiwe au apuuzwe?
Nasemaaa suala la mteule na mteuliwa sisi hatuwez lijadili.. sanasana tunamuonea huruma bwana waziri mteule kwa yaliyotokea.. na sanasana kiubinadam tunamuombea kwa mhe. Rais ampe second chance,.Sijakuelewa.
Unawaza hao? Mkeo utamuambia nini akuelewe?
Alishajua anaenda kuwa mke wa naibu waziri.
Ukijaribu kumla mate hii ndio picha atayokuwa anaiona machoni pake: Ng'ombe
Mimi naona mwenye changamoto ni aliyemteuaAsifiwe, ndo nini kumtia aibu hivyo mbele ya kadamnasi. Hataweza kusimamia wizara nyeti ya madini