Nimesema sisi tunapoteza muda kwa kujadili hili..ni suala la mteule na mteuliwa. Sana Sana sisi kiubinadam tunamuonea huruma tu tungemuomba mheshimiwa Rais ampe nafasi zaidi.Kwa nini tena kuhoji elimu yake na kumtumbua? Kwa nini asipewe muda ili aape tena?
Masuala haya huwa mengi yanapita na wakati binadamu wengine huko wanaweza kuwa wametengeneza yao ili tu kumkwamisha katika Hilo.
Kwa elimu aliyonayo namshauri Mh Rais aendelee kumtumia Kama alivyokuwa amepanga...inawezekana Ni sauti ya Mungu kwayeye kupewa nafasi ile...Mh.Rais ampime kwa utendaji wake wa mbeleni..