Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Huenda ana shida ya "VISION". Hilo hutokea hata wasoma masomo kanisani. Huyo alitakuwa awe na miwani
Mbona ni wengi wanaohitaji miwani wakati wa kusoma? Kwani zinapatikana sayari ya Mars useme alishindwa kuipata? Wanaotumia miwani hutembea na miwani muda wote. Kwa nini hakusema apewe muda wa kutafuta?
 
Kwa iq yako ndogo na ujinga uliojaa kichwani kwako unajua kutoka kimaisha ni kuwa na iq kubwa. Unaweza kuta mtu mwenye akili na iq kubwa hana smart phone we mjinga unayo. Naomba itungwe sheria wajing kama wewe wasimiliki smart phone.

Huweleki unayoongea.

Kumiliki smartphone hakuna uhusiano wowote na IQ.

Kama mtu ana IQ kubwa afu hajatoka kimaisha na anaongozwa na mwenye IQ ndogo, niambie hiyo IQ yake imemsaidia nini?
 
Huweleki unayoongea.

Kumiliki smartphone hakuna uhusiano wowote na IQ.

Kama mtu ana IQ kubwa afu hajatoka kimaisha na anaongozwa na mwenye IQ ndogo, niambie hiyo IQ yake imemsaidia nini?
Kaa kimya please.
 
Na imechukua zaidi ya mwezi kuunda baraza!!
 
Huna majibu sio.

Ukipata majibu ya mwenye IQ kubwa kapuku na anaongozwa na mwenye uwezo mdogo let me know.
Nakaa kimya, maana vilaza wenye iq -1 ndio wanasmarphone na wamejazana Jf kusumbua watu.
 
Kwa iq yako ndogo na ujinga uliojaa kichwani kwako unajua kutoka kimaisha ni kuwa na iq kubwa. Unaweza kuta mtu mwenye akili na iq kubwa hana smart phone we mjinga unayo. Naomba itungwe sheria wajing kama wewe wasimiliki smart phone.
kuwa na smart phone kuna uhusuano wa moja kwa moja na IQ!, au ni pamoja na uwezo wa kuinunua na kujua kama itakufaa katika mazingira unayoishi?
 
kuwa na smart phone kuna uhusuano wa moja kwa moja na IQ!, au ni pamoja na uwezo wa kuinunua na kujua kama itakufaa katika mazingira unayoishi?
Umeelewa nini nilimchomjibu huyo duanzi?
 
Kawaida huwa wanafanya zoezi la kuapa kabla ya tukio lenyewe
 
Alisema pale kuwa wamemchomekea, waliomfanyia vetting huyo kilaza wanalo, hii ni kashfa kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…