Kama alisahau miwani yake ya macho ya kusomea iwapo hutumia angeomba apology kwa Rais pengine angeeleweka! Labda vinginevyo kutumbuliwa ni stahili yakeJamaa baada ya uteuzi alifanya bonge la sherehe.... Nimemuonea huruma daah!
Mama yako bado hajakufahamisha iq ni kitu gani?
Kilichokutuma wewe kujibu hii post ni nini? Kwa nini usikae na mke wako mnapika na kutawaza watoto wenu waliojinyea?Na December hii mkuu unaacha kuwaza january watoto wataenda vipi shule,unaanza kuwajadili maboss wa miaka mitano ijayo? Kwan kutumbuliwa kwake kumepunguzia nini? Nafasi ya ubunge ipo pale pale.
Boss acha hasira.Kwangu mimi aliyemteua...hawa si ndiyo wale wezi wa kura...wacha waumbuane kweupe pee!! Aliyemteua na mteuliwa wote wezi...aibu yao si yetu
Bado tu mama yako hajakuambia Iq ni kitu gani? Je ina mahusiano yoyote na kufanikiwa kimaisha? Au bado yupo kwenye show?Nifahamishe wewe theni nijibu inakuwaje mwenye IQ kubwa hajatoka na anaongozwa na mwenye iq ndogo. Hapo iq yake inakua imemsaidia nini?
Yaani amepigwa upofu,akatolewa uelewa.Uchawii upo jamani si bure msomi wetu kushindwa kusoma. Nimemuonea huruma huyu Baba, hatakaa asahau hii siku ya leo[emoji24]
Jiongeze mkuu mbona mnakuwa na vichwa vigumuMadhara ya kubebwa bebwa wakati hakuna kitu kichwani,mtu ana masters?anatetemeka hata kusoma kiswahili,sasa debate za sekondari ulikuwa unafanyaje,projects za chuo kikuu,ulikuwa unawasilisha vipi?na hiyo masters yako umeipata vp?
Hutaki kujadili unakaa kaa kimya na kando unawaachia wanaotaka. Huoni hata mimi umenipa cha kujadili 😀Mods ondoa hii maneno. Haina tija Happ kwetu sisi. Sasa Kama mwenyewe kashindwa kusoma kiapo.. sisi inatuhusu Nini...Ni sawa na wewe umeenda kufanya mtihani then ukafeli. Sasa tutajadili vipi jinsi ulivyofeli..haiwezekani.
Waziri akisafiri anaingia nani vikaoni?Hivi manaibu waziri wanaingia kwenye vikao vya baraza la mawaziri?....
Maana yako wote ni utopoloNasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!
Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sinawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!
Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!
Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?
Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka
Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
Hapana bossMaana yako wote ni utopolo
Emil DukheimHuyo jamaa kafunga mwaka 2020 kwa hicho kituko chake.....hata hiyo kazi ya ubunge hataifanya kwa weledi.....huyu jamaa anahitaji uangalizi mkubwa sana maana anaweza kujinyonga
Emire Durkheim concept yake ya Suicide inanionyesha ivyo........
HahahaaaaaaWazee wa suti wakikunusanusa wakijua umejifarujohn wanakuchomea utambi Bora upinge ujani then unajibigjii au kuber.
Ushindi wowote kimaisha unakuwa mtaaam sana kama umeupata kwa haki mjomba!!Boss acha hasira.