Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Jamaa baada ya uteuzi alifanya bonge la sherehe.... Nimemuonea huruma daah!
Kama alisahau miwani yake ya macho ya kusomea iwapo hutumia angeomba apology kwa Rais pengine angeeleweka! Labda vinginevyo kutumbuliwa ni stahili yake
 
Na December hii mkuu unaacha kuwaza january watoto wataenda vipi shule,unaanza kuwajadili maboss wa miaka mitano ijayo? Kwan kutumbuliwa kwake kumepunguzia nini? Nafasi ya ubunge ipo pale pale.
 
Mama yako bado hajakufahamisha iq ni kitu gani?

Nifahamishe wewe theni nijibu inakuwaje mwenye IQ kubwa hajatoka na anaongozwa na mwenye iq ndogo. Hapo iq yake inakua imemsaidia nini?
 
Na December hii mkuu unaacha kuwaza january watoto wataenda vipi shule,unaanza kuwajadili maboss wa miaka mitano ijayo? Kwan kutumbuliwa kwake kumepunguzia nini? Nafasi ya ubunge ipo pale pale.
Kilichokutuma wewe kujibu hii post ni nini? Kwa nini usikae na mke wako mnapika na kutawaza watoto wenu waliojinyea?
 
Kwangu mimi aliyemteua...hawa si ndiyo wale wezi wa kura...wacha waumbuane kweupe pee!! Aliyemteua na mteuliwa wote wezi...aibu yao si yetu
 
Nifahamishe wewe theni nijibu inakuwaje mwenye IQ kubwa hajatoka na anaongozwa na mwenye iq ndogo. Hapo iq yake inakua imemsaidia nini?
Bado tu mama yako hajakuambia Iq ni kitu gani? Je ina mahusiano yoyote na kufanikiwa kimaisha? Au bado yupo kwenye show?
 
Madhara ya kubebwa bebwa wakati hakuna kitu kichwani,mtu ana masters?anatetemeka hata kusoma kiswahili,sasa debate za sekondari ulikuwa unafanyaje,projects za chuo kikuu,ulikuwa unawasilisha vipi?na hiyo masters yako umeipata vp?
Jiongeze mkuu mbona mnakuwa na vichwa vigumu

Mtu wa masters anaweza kushindwa kusoma kweli?
Inaingia akilini?
 
Mods ondoa hii maneno. Haina tija Happ kwetu sisi. Sasa Kama mwenyewe kashindwa kusoma kiapo.. sisi inatuhusu Nini...Ni sawa na wewe umeenda kufanya mtihani then ukafeli. Sasa tutajadili vipi jinsi ulivyofeli..haiwezekani.
Hutaki kujadili unakaa kaa kimya na kando unawaachia wanaotaka. Huoni hata mimi umenipa cha kujadili 😀
 
Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.

Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!

Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sinawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!

Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!

Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?

Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka

Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
Maana yako wote ni utopolo
 
Huyu jamaa hafai kunyanyapawa. Atakuwa na medi al condition inahoitwa anxiety dosorder inayomfanya ashindwe ku perform simple tasks hasa mbele za watu. He needa some help na sio kunyaylnyapawa!
 
Huyo jamaa kafunga mwaka 2020 kwa hicho kituko chake.....hata hiyo kazi ya ubunge hataifanya kwa weledi.....huyu jamaa anahitaji uangalizi mkubwa sana maana anaweza kujinyonga

Emire Durkheim concept yake ya Suicide inanionyesha ivyo........
Emil Dukheim
 
Back
Top Bottom