Sio tu uhasibu, kabla hajaenda kugombea ubunge alikuwa DED!! Huyu jamaa namkumbuka kwenye sakata la yeye kuingiziwa pesa za makusanyo kwenye akaunti yake binafsi, akaambiwa azirudishe!!Kawahi kuwa muhasibu pia Tanroads. So anajua kusoma kwa hakika.
Nilichokua napinga ni kukimbilia kusema uchawi pasi kuangalia sababu zingine zinazoweza pelekea kutokea kwa hiyo hali.
Story za uchawi huwa zinaaminiwa sana na wavivu wa kufikiri na kusambazwa na wajinga.
Haya ya kujua kusoma na kuandika ndio yanapeleke maboya kama wewe bungeni kisa mnasingizia kujua kusoma na kuandika.Sawa katiba inaruhusu ila ndio sababu ya kujaza watu wenye Iq ndogo kama wewe.Kawahi kuwa muhasibu pia Tanroads. So anajua kusoma kwa hakika.
Nilichokua napinga ni kukimbilia kusema uchawi pasi kuangalia sababu zingine zinazoweza pelekea kutokea kwa hiyo hali.
Story za uchawi huwa zinaaminiwa sana na wavivu wa kufikiri na kusambazwa na wajinga.
Hivi kuwa Ded au Dc ndio kusema uwezo wako uko vizuri kupambanua mambo?“Machadema yamemloga”. ( Kwa sauti ya Bia yetu)
On a serious note, yawezekana huyo bwana alikuwa mhasibu na DED mzuri. Ana Masters of Finance etc lakini ni wazi asingekuwa naibu waziri mzuri kwasababu ameonesha wazi ana tatizo la kushindwa ku function under pressure.
Peter’ s Principle iko pale pale na haidanganyi!
inawezekana apatata phobia attach.ni tatizo linaloweza kumtokea mtu yeyote especially awapo kwenye mkusanyiko wa watu .Hivi unadhani jamaa hajui kusoma? Mbona aliapa bungeni?..yaliyotokea ni mambo ya kibinadamu
Baada ya kukosa mkate umeanza kupata akili kidogoNasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!...
Ila angepewa second chance,kwa kweli imeniuma sana sanaaa japokua hata simjui ndo kwanza nimemuona leo akibabaika[emoji58]Yaani amepigwa upofu,akatolewa uelewa.
Tuombe Sana Mungu,nguvu za giza zipo.
Na ni msomi mzuri tu,nimesikia watu wanasema alikuwa mhasibu TANROADS
Ni mbunge wa wapi?
Nonsense.Baada ya kukosa mkate umeanza kupata akili kidogo
So what?
Hata mimi nimeumiaIla angepewa second chance,kwa kweli imeniuma sana sanaaa japokua hata simjui ndo kwanza nimemuona leo akibabaika[emoji58]
Wazee sio watu wazuriHahahaha