Sio tu uhasibu, kabla hajaenda kugombea ubunge alikuwa DED!! Huyu jamaa namkumbuka kwenye sakata la yeye kuingiziwa pesa za makusanyo kwenye akaunti yake binafsi, akaambiwa azirudishe!!Kawahi kuwa muhasibu pia Tanroads. So anajua kusoma kwa hakika.
Nilichokua napinga ni kukimbilia kusema uchawi pasi kuangalia sababu zingine zinazoweza pelekea kutokea kwa hiyo hali.
Story za uchawi huwa zinaaminiwa sana na wavivu wa kufikiri na kusambazwa na wajinga.