Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Kawahi kuwa muhasibu pia Tanroads. So anajua kusoma kwa hakika.

Nilichokua napinga ni kukimbilia kusema uchawi pasi kuangalia sababu zingine zinazoweza pelekea kutokea kwa hiyo hali.

Story za uchawi huwa zinaaminiwa sana na wavivu wa kufikiri na kusambazwa na wajinga.
Sio tu uhasibu, kabla hajaenda kugombea ubunge alikuwa DED!! Huyu jamaa namkumbuka kwenye sakata la yeye kuingiziwa pesa za makusanyo kwenye akaunti yake binafsi, akaambiwa azirudishe!!
 
Familia ya jamaa isipoangalia inaweza kumpoteza jumla jamaa

Naomba wasimruhusu kukaa karibu na bangi wala pombe
 
Kawahi kuwa muhasibu pia Tanroads. So anajua kusoma kwa hakika.

Nilichokua napinga ni kukimbilia kusema uchawi pasi kuangalia sababu zingine zinazoweza pelekea kutokea kwa hiyo hali.

Story za uchawi huwa zinaaminiwa sana na wavivu wa kufikiri na kusambazwa na wajinga.
Haya ya kujua kusoma na kuandika ndio yanapeleke maboya kama wewe bungeni kisa mnasingizia kujua kusoma na kuandika.Sawa katiba inaruhusu ila ndio sababu ya kujaza watu wenye Iq ndogo kama wewe.

Kwani kuwa mhasibu Tanroads ndio kusema yupo vizuri? Watu kibao watumishi wa umma lakini kichwani weupe.
 
“Machadema yamemloga”. ( Kwa sauti ya Bia yetu)

On a serious note, yawezekana huyo bwana alikuwa mhasibu na DED mzuri. Ana Masters of Finance etc lakini ni wazi asingekuwa naibu waziri mzuri kwasababu ameonesha wazi ana tatizo la kushindwa ku function under pressure.

Peter’ s Principle iko pale pale na haidanganyi!
 
Hivi kuwa Ded au Dc ndio kusema uwezo wako uko vizuri kupambanua mambo?
 
Hivi unadhani jamaa hajui kusoma? Mbona aliapa bungeni?..yaliyotokea ni mambo ya kibinadamu
inawezekana apatata phobia attach.ni tatizo linaloweza kumtokea mtu yeyote especially awapo kwenye mkusanyiko wa watu .
Kwa vile alishafanyiwa vetting akaonekana yupo vizuri, sidhani kama ni sahihi kwake kutenguliwa.pengine angepewa nafasi siku nyingi arudie akiwa kwenye hali ya utulivu
 
Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.

Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!...
Baada ya kukosa mkate umeanza kupata akili kidogo
 
Dunia duara ukifikiri Sana utalia kila Mara, mheshimiwa Ndulane amekuwa mhasibu Tanroads zaidi ya miaka 10, amekuwa mkurugenzi wa mji wa Ifakara, amekuwa Kiongozi wa mpira Lindi na Morogoro, amekuwa mjumbe wa TFF katika kamati ya fedha na uongozi na amesafiri na Taifa Stars zaidi ya Mara 4, leo ameshindwa kuapa kurasa moja, hii ndiyo Dunia, tunatakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kumhukumu.
 
kuna umuhimu wa kuswali/kusali na kuombea kila nyenendo au hatua tunazopiga.....ila Mungu ni mwema kama anastahili hiyo nafasi hakuna wa kumnyang'anya ataipata tu mda ukifika
 
Back
Top Bottom