Na Ndo mana mwarabu mmoja alikuwa na uwezo wa kuswaga kundi la mbanga 300 kutoka tabora mpaka bagamoyo zikiwa ndani ya minyororo. Tena kwa Unaa unakuta njiani zinajipendekeza kwasasbu "Maandiko" ndivo yalivowafundisha.Huo ndio utu na hata maandiko yanatuongoza hivyo.
Wahi kidhungu chake sio cha wathomi buroo.Wewe wasema
Achana naye mpuuzi tu huyoUnashangaa kwa sababu labda huna utu kama huyo unayemjibu. Nini cha ajabu kumuonea huruma mtu aliyekuzidi mafanikio akipata matatizo?
Naunga mkono hawa viongozi wa dini ni waganga njaa tu,hawana Mungu wa kweli. Haiwezekani ndumba ipenyeze mahala walipofanya sala.Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.
Ngoja niwakumbushe;
Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.
Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.
Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Maendeleo hayana vyama!
DED ashindwe kusoma sentensi saba za kiswahili?Et inasemekana hajui vizuri kusoma
Hilo nalo neno mkuu!Mimi najiuliza sana!
Hivi selikali huwa wanatengeneza vimatukio ili kutusahaulisha mambo flani flani?
Hebu ona mjadala wote wa ACT na Maalimu Seif umekufa kabisa.
Nakubaliana na wewe kabisa.Viongozi wengi wa dini either wamegeuka kuwa wafanya biashara au wanaharakati. Hakuna upako tena.
Huwezi tengeneza tukio kama hili,hii ni fedheha kubwa sana kwa taifa letu. Tukio kama hili huwa linatazamwa dunia nzima.Mimi najiuliza sana!
Hivi selikali huwa wanatengeneza vimatukio ili kutusahaulisha mambo flani flani?
Hebu ona mjadala wote wa ACT na Maalimu Seif umekufa kabisa.
Naona jiwe limekupata huko gizani bwashee!Nani alikwambia ni nguvu za giza? Ulizituma wewe?
Tanzania mna rais ambaye upstairs yupo sawa na JescaLabda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.
Ngoja niwakumbushe;
Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.
Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.
Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Maendeleo hayana vyama!
Waswahili wengi ni wachawi wachawi sana!Ningepata nafasi ya kumuona Rais leo hii ningemshauri asimtumbue NW Madini, mtu mzima yule tena msomi hawezi kushindwa kusoma sentensi mbili hizo.
Kuna tatizo sehemu, waswahili tuna mambo ya kijinga sana.
Tuangalie na maeneo aliyotokea huyo mbunge! Si ndiyo kule uncle alipokatisha ile safari au cyo huko?? Binafsi mm naamini hapo kutakuwa na kitu tuu, kwani bungeni si alikula kiapo mbele ya spika, na katibu wa bunge bila wasi wasi yeyote???, Je iweje leo??, Yawezekana kaamka anaumwa, Ila kwa kuwa ni cku ya kiapo! Mjomba akaamuwa kujikaza tuu kibongo bongo....Ila c jambo la kumcheka.Nakumbuka yule binti kutoka Lindi UVCCM alishindwa kujinadi kwa wajumbe akapata kigugumizi cha ukubwani,,,Hata huyu naibu waziri ni uchawi tu...watu wa Lindi acheni mimoshi yenu khaaa