Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.

Ngoja niwakumbushe;

Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.

Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.

Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.

Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hawa viongozi wa dini ni waganga njaa tu,hawana Mungu wa kweli. Haiwezekani ndumba ipenyeze mahala walipofanya sala.
 
Mimi najiuliza sana!

Hivi selikali huwa wanatengeneza vimatukio ili kutusahaulisha mambo flani flani?

Hebu ona mjadala wote wa ACT na Maalimu Seif umekufa kabisa.
Hilo nalo neno mkuu!
 
Mimi najiuliza sana!

Hivi selikali huwa wanatengeneza vimatukio ili kutusahaulisha mambo flani flani?

Hebu ona mjadala wote wa ACT na Maalimu Seif umekufa kabisa.
Huwezi tengeneza tukio kama hili,hii ni fedheha kubwa sana kwa taifa letu. Tukio kama hili huwa linatazamwa dunia nzima.
 
Ningepata nafasi ya kumuona Rais leo hii ningemshauri asimtumbue NW Madini, mtu mzima yule tena msomi hawezi kushindwa kusoma sentensi mbili hizo.
Kuna tatizo sehemu, waswahili tuna mambo ya kijinga sana.
 
Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.

Ngoja niwakumbushe;

Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.

Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.

Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.

Maendeleo hayana vyama!
Tanzania mna rais ambaye upstairs yupo sawa na Jesca
 
Ningepata nafasi ya kumuona Rais leo hii ningemshauri asimtumbue NW Madini, mtu mzima yule tena msomi hawezi kushindwa kusoma sentensi mbili hizo.
Kuna tatizo sehemu, waswahili tuna mambo ya kijinga sana.
Waswahili wengi ni wachawi wachawi sana!
 
Nakumbuka yule binti kutoka Lindi UVCCM alishindwa kujinadi kwa wajumbe akapata kigugumizi cha ukubwani,,,Hata huyu naibu waziri ni uchawi tu...watu wa Lindi acheni mimoshi yenu khaaa
Tuangalie na maeneo aliyotokea huyo mbunge! Si ndiyo kule uncle alipokatisha ile safari au cyo huko?? Binafsi mm naamini hapo kutakuwa na kitu tuu, kwani bungeni si alikula kiapo mbele ya spika, na katibu wa bunge bila wasi wasi yeyote???, Je iweje leo??, Yawezekana kaamka anaumwa, Ila kwa kuwa ni cku ya kiapo! Mjomba akaamuwa kujikaza tuu kibongo bongo....Ila c jambo la kumcheka.
 
Back
Top Bottom