Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Tunajifunzaje sasa kujiamini?
 
So jamaa sio Waziri sababu hajaapa. Sio?
... haina shida; ataapishwa gereji baadaye; sio lazima mshuhudie akiapa; mtapewa tu taarifa kiapo chao kilishafanyika tena kwa ufanisi mkubwa.
 
Kusoma anajua ila kujiamini ana kitete
Au nadhani huwa anasoma kwa miwani alisahau, akawa haoni vzr. Sasa ataapishwa lini maana hawakumrudia tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…