Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MSHAHARA wa dhambi ni mauti, walimwibia bwege kura sasa wanavunba, nakuambieni huu ni mwanzo ytu, mengi yanafuata.Imesikitisha kweli
Kula kiapo ni mtihani? Acha ushamba,kama haikuhusu kaa kimya.Mods ondoa hii maneno. Haina tija Happ kwetu sisi...Sasa Kama mwenyewe kashindwa kusoma kiapo.. sisi inatuhusu Nini...Ni sawa na wewe umeenda kufanya mtihani then ukafeli..Sasa tutajadili vipi jinsi ulivyofeli..haiwezekani..
Mbona hatujawahi kushudia miaka nenda rudi,acha upuuzi wa kishamba.Tatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Ndulane.
Ndiyo hao wengi wao hata kura za maoni za Wajumbe hawakupita lakini mamlaka za juu zililazimisha kuteuliwa kwaoZaidi ya 50% ya wabunge wa ccm hawakushinda uchaguzi, bali walitangazwa tu washindi.
Albadiri inaendelea kwa mmoja baada ya mwingine kwa wote walioiba uchaguzi.Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
Kwani alichukua jimbo la Suleiman Bungala?Uchawii upo jamani si bure msomi wetu kushindwa kusoma.Nimemuonea huruma huyu Baba,hatakaa asahau hii siku ya leo[emoji24]
Vyeo vikuwa vikubwa kuliko wao au wanamuogopa Rais.Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
Isije ikawa aliuza roho yake so ,kutaja jina la Mungu kwa biblia ikamuwia vigumu, akapata ububuUchawii upo jamani si bure msomi wetu kushindwa kusoma.Nimemuonea huruma huyu Baba,hatakaa asahau hii siku ya leo[emoji24]
Kile ni Kipapai kabisa... Mtu mzima ashindwe kusoma viel, tena kiapo cha kiswahili???Labda hiyo kazi kuna mtu anaitaka ikabidi amrushie kipapai.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Shikamoo Murtaza, hapo bwege kakaa pembeni, LINDI, MTWARA, SUMBAWANGA, PANGANI, TANGA , KIGOMA nyie ni mikoa mizuri sana na ndiyo maana waajiriwa wengi wa serikali wanapenda sana kufanya kazi huko.Alishindwa ubunge kura za maoni dhidi ya Murtaza Mangungo huko Kilwa Kaskazini...... CC ya chama ikamkata Murtaza ikampa hiyo aliyepata kura chache mnoo....
Leo ameshindwa kuapa....amezoea vya kupewa basi asiape awe tu waziri