Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Mods ondoa hii maneno. Haina tija Happ kwetu sisi. Sasa Kama mwenyewe kashindwa kusoma kiapo.. sisi inatuhusu Nini...Ni sawa na wewe umeenda kufanya mtihani then ukafeli. Sasa tutajadili vipi jinsi ulivyofeli..haiwezekani.
 
Mods ondoa hii maneno. Haina tija Happ kwetu sisi...Sasa Kama mwenyewe kashindwa kusoma kiapo.. sisi inatuhusu Nini...Ni sawa na wewe umeenda kufanya mtihani then ukafeli..Sasa tutajadili vipi jinsi ulivyofeli..haiwezekani..
Kula kiapo ni mtihani? Acha ushamba,kama haikuhusu kaa kimya.
Tatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Mbona hatujawahi kushudia miaka nenda rudi,acha upuuzi wa kishamba.
 
Zaidi ya 50% ya wabunge wa ccm hawakushinda uchaguzi, bali walitangazwa tu washindi.
Ndiyo hao wengi wao hata kura za maoni za Wajumbe hawakupita lakini mamlaka za juu zililazimisha kuteuliwa kwao
kugombea Ubunge kwa kuwa ushindi ulikuwa tayari unajulikana. Matokeo yake yameanza kujitokeza mbele ya Wakuu walewale waliowaengua waliopitishwa na kura za maoni na mbele yetu sisi wote ambao tumekuwa tukifuatilia Uchafuzi wa mwaka huu, hata kabla ya Bunge kuanza rasmi. Vituko vikubwa zaidi vitegemewe Bungeni miaka 5 ijayo!
 
usilolijua ni kama usiku wa giza haya mambo yapo technical sana kwanza mtu mwenyewe wa Kilwa huko balaah tupu.

Hakuaga kwao huyo ,uwaziri sio nafasi ya kwenda mwepesi mwepesi unaweza ukajikuta siku kabla ya kuapishwa unapata mimba unazaa kuku japo we Me😁😁😁😁😁😁
 
Daaaah

Kama alishaandaa kiwanja ajenge gorofa atajenga tembe kupisha machungu
 
Hii sasa ni kali.

Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"

Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.

Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!

Maendeleo hayana vyama!
Albadiri inaendelea kwa mmoja baada ya mwingine kwa wote walioiba uchaguzi.
 
Hii sasa ni kali.

Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"

Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.

Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!

Maendeleo hayana vyama!
Vyeo vikuwa vikubwa kuliko wao au wanamuogopa Rais.

Huyu akisaidiwa akafanikisha kiapo atakuwa mtumwa mwaminifu kwa Bwana wake.
 
Yule jamaa kashindwa kusoma, ni kama alikuwa amekariri hivi, sasa alipopewa nafasi ya kusoma akashindwa.

Okay, let assume ilikuwa ni woga tu.
Sasa kwanini Rais atilie mashaka elimu yake kiasi cha kuona kuna ulazima kuchunguza vyeti vyake?

Kwani kabla ya kuteuliwa hakuchunguzwa?
 
Alishindwa ubunge kura za maoni dhidi ya Murtaza Mangungo huko Kilwa Kaskazini...... CC ya chama ikamkata Murtaza ikampa hiyo aliyepata kura chache mnoo....
Leo ameshindwa kuapa....amezoea vya kupewa basi asiape awe tu waziri
Shikamoo Murtaza, hapo bwege kakaa pembeni, LINDI, MTWARA, SUMBAWANGA, PANGANI, TANGA , KIGOMA nyie ni mikoa mizuri sana na ndiyo maana waajiriwa wengi wa serikali wanapenda sana kufanya kazi huko.
 
Back
Top Bottom