Nasemaaa suala la mteule na mteuliwa sisi hatuwez lijadili..sanasana tunamuonea huruma bwana waziri mteule kwa yaliyotokea..na sanasana kiubinadam tunamuombea kwa mhe. Rais ampe second chance,. Masuala haya ya viapo wakati mwingine yanaweza kukwamishwa na midomo ya wanadam kwa chuki tu na wivu..unakuta wanachez mchezo kumkwamisha mwingine...Nina imani na uzoefu wake na elimu yake inaweza saidia kule ambapo Rais alipanga kumuweka...sisi wananchi ambao tuko nyuma ya mhe.Rais tungemshauri aendelee nae amuapishe then apige kazi..aendelee na vetting zaidi mbeleni ili kuondoa doubt yoyote inayokuwepo..natumai Mhe.Rais atasoma ujumbe huu Kama ushauri na inawezekana Ni maono na sauti ya Mungu pia..God bless our president..