Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Nasemaaa suala la mteule na mteuliwa sisi hatuwez lijadili..sanasana tunamuonea huruma bwana waziri mteule kwa yaliyotokea..na sanasana kiubinadam tunamuombea kwa mhe. Rais ampe second chance,. Masuala haya ya viapo wakati mwingine yanaweza kukwamishwa na midomo ya wanadam kwa chuki tu na wivu..unakuta wanachez mchezo kumkwamisha mwingine...Nina imani na uzoefu wake na elimu yake inaweza saidia kule ambapo Rais alipanga kumuweka...sisi wananchi ambao tuko nyuma ya mhe.Rais tungemshauri aendelee nae amuapishe then apige kazi..aendelee na vetting zaidi mbeleni ili kuondoa doubt yoyote inayokuwepo..natumai Mhe.Rais atasoma ujumbe huu Kama ushauri na inawezekana Ni maono na sauti ya Mungu pia..God bless our president..
Kujadili tunajadili maana katiba ya JMT imetoa haki ya kujieleza,ibara ya 18. Wewe kama huwezi kujadili acha,kwanza hawa wote wanatumia kodi zetu,lazima tushangae kwa nini mtu ambae anashindwa kuapa aliteuliwa?
 
Rais hakupaswa kumtumbua huyu jamaa alipaswa kumpa nafasi ya kuapa tena........ rais amekosea
Utasemaje amekosea..hayo mawazo yako..usi generalize...wengine tunasema amepatia..ile si ni Kama mtihani...mtu anayefeli mtihani unaweza sema waliomfelisha wamekosea...noooooo...
Sisi tunasema kwamba kiubinadam na kwa jinsi waziri mteule alivyokuwa amejiandaa na hata Mh.Rais mwenyewe kumuandaa kea namna mbalimbali, tunamuombea kwa Mh Rais ampe second chance..kiubinadam kwa sabab inawezekana Kuna mambo mengi yamepita happ katikati..hatuwezi jua Ni Mungu tu pekee...na kwa sababu mh.Rais ni mtu wa dini na muamini mzuri, amsamehe aendelee kumuapisha na kuendelea na vetting vizuri atakayoamua yeye ili kuondoa doubt yoyote..binafsi Nina imani na elimu yake inaweza saidia pamoja na uzoefu..God bless our Presidaa
 
Hata TALE TALE aisingepata viti maalumu nadhani Jukwaani angekuwa anasoma karatasi akifanya kampeni.

Niliona clip ya Tale yule ndo hafai kabisa ila sikumshangaa. Huyu na Masters yake nae hajui kusoma duh!
 
Kujadili tunajadili maana katiba ya JMT imetoa haki ya kujieleza,ibara ya 18. Wewe kama huwezi kujadili acha,kwanza hawa wote wanatumia kodi zetu,lazima tushangae kwa nini mtu ambae anashindwa kuapa aliteuliwa?
Weeeeee. Kuna factors nyingi lazima uangalie,, acha wivu..Kama Mungu alimuandikia kupata wacha apate...tatizo Nini au wewe utapungukiwa na Nini... Nyinyi ndio wale mnaotaka Halima Mdee na wenzake 18 wafukuzwe ubunge..pamoja na kwamba wameshafukuzwa uanachama...adhabu hizo haziwezi enda at par..au simultaneously...tunamshauri Mh.Rais amsamehe tuu kiubinadam ni slip of the tongue..ila mh.Rais aendelee na vetting zaidi ili kubaini Kama Kuna tatizo
 
Weeeeee. Kuna factors nyingi lazima uangalie,, acha wivu..Kama Mungu alimuandikia kupata wacha apate...tatizo Nini au wewe utapungukiwa na Nini... Nyinyi ndio wale mnaotaka Halima Mdee na wenzake 18 wafukuzwe ubunge..pamoja na kwamba wameshafukuzwa uanachama...adhabu hizo haziwezi enda at par..au simultaneously..
Nje ya mada,jadili mada iliyopo mezani.
 
Uchawii upo jamani si bure msomi wetu kushindwa kusoma.Nimemuonea huruma huyu Baba,hatakaa asahau hii siku ya leo[emoji24]

Kila kitu ni uchawi kwenu hata mambo madogo tu.

Vp kama alikua overwhelmed?

Vp kama kweli hajui kusoma? Umewahi kumuona akisoma kabla?

Miafrika kila kitu ni uchawi kwao. Smd
 
Nje ya mada,jadili mada iliyopo mezani.
Mada tumeshajadili na tumeshamshauri mhe.Rais mambo yetu na tuna imani atatusikiliza ushauri...kumbuka thawabu huwa zinakuja kupitia njia mbalimbali...Ni Mambo mengi huyu Mungu ametutendea katika Taifa letu na Mhe.Rais ametamka kwenye hotuba yake...watu huko duniani wanatushangaa....Sasa suala la waziri mteule Hilo ni dogo Sana..hakuna lisilowezekana kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom