Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Unamuuliza nani?Kwani katenguliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuuliza nani?Kwani katenguliwa?
Lingekuwa dogo Mh rais angesema atamuapisha kesho. Lakini amechukia na ametengua uteuzi.Mada tumeshajadili na tumeshamshauri mhe.Rais mambo yetu na tuna imani atatusikiliza ushauri...kumbuka thawabu huwa zinakuja kupitia njia mbalimbali...Ni Mambo mengi huyu Mungu ametutendea katika Taifa letu na Mhe.Rais ametamka kwenye hotuba yake...watu huko duniani wanatushangaa....Sasa suala la waziri mteule Hilo ni dogo Sana..hakuna lisilowezekana kwa Mungu.
Kwani Mkulu Kasemaje?Waanze na kina nani ? hapo kuna watu walifanya vetting ambao huwezi kuwachunguza wanaogopeka
Ndio ujiulize,Ni dhahiri huyu alifungwa speed governor!Wanasiasa wanazijua sana hz habari,MTU anashindwa kabisaaaaa kujieleza na kuomba kuomba kuraKwani kampeni alifanyia porini?
Alikuwa haongei na wapiga Kura wa jimboni kwake?
Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!
Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sinawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!
Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!
Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?
Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka
Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
Ni sawa na kukosa penalty kwenye fainali halafu dakika ya 88 ya mchezoToyota LandCruiser LC 200 V8 VX-R
Namba plate NW
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa siasa ni Kipaji ,TALE/FA wangeendelea na Muziki tu,Siasa hawawezi!! Siasa uwezo wa kujenga hoja na ushawishi ,hao watu ni ZERO FLAT.Niliona clip ya Tale yule ndo hafai kabisa ila sikumshangaa. Huyu na Masters yake nae hajui kusoma duh!
Wazee wa suti wakikunusanusa wakijua umejifarujohn wanakuchomea utambi Bora upinge ujani then unajibigjii au kuber.kampeni alipigaje mbele ya umati mkubwa si Bora hata angepiga Faru John 1 kuondoa aibu
Kabisa siasa ni Kipaji ,TALE/FA wangeendelea na Muziki tu,Siasa hawawezi!! Siasa uwezo wa kujenga hoja na ushawishi ,hao watu ni ZERO FLAT.
Huwezi kuelewa nilichoandika sababu Iq yako ni ndogo. Kwa hiyo watu wenye Iq kubwa kukaa mitaani na kuacha wenye Iq ndogo kuingia kwenye siasa, unadhani ndio kuwa hawana Iq kubwa?Kwahiyo mtu akifanyiwa vetting is not bound to make any mistake or fail?
Unajua kwamba watu huwa overwhelmed?
Unajua kwamba people react differently under pressure?
Unaposema "watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?" inakuaje mtu mwenye IQ kubwa akubali kuongozwa na mwenye IQ ndogo? Huoni sentensi yako inakinzana? Hiyo IQ kubwa imemsaidia nini? Sawa na kusema mwenye nguvu kapigwa na mnyonge ni jambo ambalo haliwezekani.
Huenda ana shida ya "VISION". Hilo hutokea hata wasoma masomo kanisani. Huyo alitakuwa awe na miwaniHabari wakuu,
Leo nimeona kituko ambacho sio cha nchi hii, hadi mimi niliyekuwa naangalia nimeona aibu....
Kwa hiyo ni furaha?Toyota LandCruiser LC 200 V8 VX-R
Namba plate NW
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kuelewa nilichoandika sababu Iq yako ni ndogo. Kwa hiyo watu wenye Iq kubwa kukaa mitaani na kuacha wenye Iq ndogo kuingia kwenye siasa, unadhani ndio kuwa hawana Iq kubwa?