CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Kama RAIA no one ni kihiyo pia.Ni kihiyo tu huyo hakuna cha kumtetea kihiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama RAIA no one ni kihiyo pia.Ni kihiyo tu huyo hakuna cha kumtetea kihiyo
Unataka kusema kuna mkono wa mtu hapoNdumba nazo huwa zinahusika mkuu.usimshangae huyo jamaa
Atakuwa naape hyo.Kule kwao ndipo moshi wa Ruangwa ulimzimisha magufuli siku 3 hoi kuna watu hawakulizika na uteuzi wake kule jimboni kwake wanandai pesa zao za kufanikisha uchakachuaji hajawalipa
Acha uongo why yeye tuMazingira uliyoyataja hayashabian,na mazingira ya leo , kaangalia auto nyeusi kibao,anakaziwa macho Kama amechukua Cha mtu,kule cdf, Mara iGp , na wengine kibao mabega yamechafuka, na hua anawasikia leo live, kusogea mbele jpm anamwangalia using,hata hapeleki macho pembeni, mbaya zaidi pale alipoambiwa kuludia, ndo wamempandisha mzuka,hakuna uchawi, nimeisha kutana nao Sana Kama Hawa,
Mtu anawambia Yani KWA mwanamke napiga story Sana ila nikifika mbele ya watu kigugumizi zaidi ya bubu, ila tu kwa waliochini yake story sana
Kwahiyo bado Jiwe baba wa madhuluma .Usifikirie tu ndumba. Dhuluma pia huleta laana. Wabunge hawa wa mwaka huu, wengi wao wamepatikana kwa kudhulumu haki za wengine. Dhuluma ilianzia kwenye chaguzi za ndani mpaka uchaguzi mkuu wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashangaa kwa sababu labda huna utu kama huyo unayemjibu. Nini cha ajabu kumuonea huruma mtu aliyekuzidi mafanikio akipata matatizo?Yeye alikuwa anaenda kupewa ajira ya pili..wewe una ajira kwanza?
Kama unayo Ajira yako inafikia ajira yake ya kwanza?
Sawa najua aliyenacho huongezewa lakini ni ajabu ukikuta masikini kusikitika MO kupata Hasara ya million5 wakati ana mabillioni benki
ila kweli sisi magorilla...yani Watu wanatunyonya wanakula keki ya nchi wanagawana vyeo na ulaji..Bado tunawahurumia wakati hawapotezi kitu..Bado hapo ana sehemu kuendelea kulaUnashangaa kwa sababu labda huna utu kama huyo unayemjibu. Nini cha ajabu kumuonea huruma mtu aliyekuzidi mafanikio akipata matatizo?
Wewe wasemaKama RAIA no one ni kihiyo pia.
[emoji23]Nigekuwa ni mimi ningeapa ile ya kitaa, napitisha kidole shingoni nasema "hakyamungu" au huko sio kuapa?
Kwani kiapo kile wanakariri?Kuna kitu hapo hakiko sawa kwenye uteuzi wake, hofu yake inatokana na siri alizonazo mwenyewe!. Inawezekana kuwa hakutarajia kupata uteuzi, lakini alikuwa na muda wa kujiandaa angalau kukariri kiapo alichotakiwa kuapa.
Huo ndio utu na hata maandiko yanatuongoza hivyo.ila kweli sisi magorilla...yani Watu wanatunyonya wanakula keki ya nchi wanagawana vyeo na ulaji..Bado tunawahurumia wakati hawapotezi kitu..Bado hapo ana sehemu kuendelea kula
Sisi ndo tunaowahurumia wao hata hawatujali wananunua magari ya mill400
Sent using Jamii Forums mobile app