Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

Shoping ya nguo ulitumia sh ngapi?

Kwani kumuukiza kwao na ndugu zake walipo inakushinda nini?... Mwambie ajiandae mwende kwao upaone, kitu kidogo hiki unajaza seva ndoa utaimudu kweli hata mwaka mmoja
Hivi seva ya mtandao Huwa inajaa?
 
Ndoa sio kwa kuoneana huruma tu, hapo kinachomsumbua chalii ni demu kujirahisisha sana..... hapo ndipo thamani ya mwanamke imeishia.
Ale chuma hicho hakunaga formula ya kueleweka namna ya kuanza maisha ya ndoa
 
Ni Kweli Mkuu, Imetokea tu, B
Ni Kweli Mkuu, Nimekuelewa na Sio kwamba ni Kawaida Yangu Kufanya hayo ya kuchukua Wanawake na kuwaleta Kwangu, ni Imetokea tu.
 
Mwambie shemeji yako wa TRC atakupitia muende safari ya majaribio ya treni ya SGR na waziri mkuu na viongozi wa dini. Nitakuja kumchukua nitamwambia treni inaanzia Dom kuja Dar hivyo tusafiri kwa basi mpaka Dom, mengine juu yangu.
 
Chakula Mwanzo tulikua tunakula Out, Ila Akaniambia Mbona tunaspend Sana kula nje na ninaweza Kukupikia Nyumbani kwa gharama za Kawaida? Na Ukiangalia ni Kweli akipika anatumia Gharama ndogo
 
Kama anauwezo wa kuwa kwenye dating app, nna walakini anaweza kuja hapa kushiriki kutoa ushauri nini afanyiwe..
 
hiyo ya kukaa naye ndo namna nzuri ya kumjua au nakosea wakuu πŸ˜† πŸ˜†
komaa naye tu mkuu ili umjue vizuri
 
hiyo ya kukaa naye ndo namna nzuri ya kumjua au nakosea wakuu πŸ˜† πŸ˜†
komaa naye tu mkuu ili umjue vizuri
 
Mpaka nguo umenunua kupika anakupikia na hana makuu mpole mstaarabu Sasa ubasubiri Nini?

Kipengele kitakachokusumbua maisha Yako n Dating app
Huyu jamaa naona kazoea kuchovya chovya ndo maan anaona huyo mdada kamzibia fursa nyingine. Au labda jamaa alikuwa hajawa na wazo la kuona. Mi sioni shida kukaa naye km hana shida.
 
halafu unaweza kuta mimi ndie mchepuko wa Bi. Mkubwa wako ninaekukeni mjini halafu unaniita kivulana.
Unafikiri kama mama zako huko kwenu ni wasimbe makurumbembe malayer malayer flani hivi ukajua wote tuna life styles za hivo poleee
 
Muulize kwenu wapi ...... unafanya kazi gani uliwahi fanya kazi gani...... pia kama una hela mpangie nje ya mji chumba cha 35000 huko miezi kadhaa kama kumsaidia tu

Mimi iliwahi nitokea situation kama yako alikuwa na age 18 so alifukuzwa anakokaa akaja kwangu akalala kesho yako alitemfukuz kasema baki nae mi pia hakua ndugu yangu sitak arudi alikuwa mwanamke mwenzake

Basi na mimi nikaona siwez kaa na mtu simjui binti alikuwa mburu akaniambia kwao hajaenda miaka minne alikuja huku akiwa na 15 kama bek tatu akafukuzwa akaingia mitaani tu kuzurura so rafik yake nae alivyoona kaja kwangu ikawa chance ya kumfukuza

Sababu ya umri wake 18 niliingia bAnk nikatoa laki mbili nikaenda kumtupa mpiji magoe kule nikampangie gheto la 35000 miezi mitano nikampa godoro feni na mtungi wa gesi na vyombo kadhaa nikasepa

Aliendelea na maisha yake Kwa furaha sasa hivi yuko age 20 sijui siku alinipigia kuwa huwa anafanya kazi za mama ntilie ila ni mzuri sana ni mburu so mimi nilimsaidia kidogo sababu ya huruma tu na umri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…