Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.

Unaweza ukakuta hata miwaya hamjapima shubamiti...
 


Mwambie exactly unachotuambia hapa.
 
Huchukua miaka 25 kumfahamu Mwanamke kama vipi mstiri tu.
 
Amevamia na anakwambia wametoka toka sana date sio gafla tu, hapo ameparamia nini au watu kuishi pamoja hadi waishi uchumba miaka 11
Tatizo mimi nadhani siyo watu kuishi wote. Tatizo ni kujuana. Kujua chimbuko eg wazazi na ndugu na historia ya mwenza wako ni jambo muhimu sana sana.
 
Thanks you Brother kwa Ushuhuda Wako, Na Umesema Jambo & I Can do it, Ila huyu Kodi yake nadhani yaweza kuwa kubwa Kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…