Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Jibu jepesi tu hapo mbona Wala huna haja ya kuonana na Mungu nitakujibu mimi,Aliruhusu uzaliwe kwa kuwa anajua unaweza kupambana na changamoto za duniani,Ile kupambana tu ukachana Ile placenta basi ulikuwa umeshafuzu kozi
mbona husemi kama wewe ni mama mchungaji jamani 😂
 
sisi tumeshsajaribu kila kitu imeshindikana saivi ni mwendo wa 'hit and run' tu 😂
As long as it makes u happy no problem!!Maisha yenyewe haya ukute umeshaishi nusu ya Maisha unayotakiwa kuwepo hapa duniani halafu Tena unaanza kuishi bila furaha Hapana,sio kweli!tufanye Mambo yanayotupa furaha
 
Mungu mmhhhh mawazo yake yapo juuu sana
Ila pia anatuepusha na vitu vingi
Ila Mungu ameacha utumwani natamani nipate hata nusu saa tu nimwone tu nimuulize ni kwanini? Aliruhusu nizaliwe
mbona una guna kikubwa hivyo ???wewe ni mwanaume Rijali kweli?Jf ina members wenye uwezo wa kumjua mtu the between line mwandiko wako haunyeshi kama kweli wewe ni mwanaume timilifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unatakiwa utambue kwamba mapenzi hayakuumbiwa kila mtu.

Wewe huenda kipaji chako labda kipo kwenye kulima matikiti achana na mapenzi utakufa siku sio zako.
Dah hivi kumbe mapenzi hayakuumbiwa kila mtu ,mi nilidhani ni kwa ajili ya sisi sote binadamu ,je unapaswa uweje ili uwe umeumbiwa mapenzi
 
Back
Top Bottom