Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
2248hrs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2248hrs
Mrembo kaa mbali na Johnnie Walker😂😂😂😂 Jf jamani
Ila mda mwingine natumia ule mtobo wa dumu la majiNatumia kokoto
Motoni nitakuwekea siti pembeni yangu😬2248hrs
Embu muache aje aniponze machungu bas😂Mrembo kaa mbali na Johnnie Walker
mbona husemi kama wewe ni mama mchungaji jamani 😂Jibu jepesi tu hapo mbona Wala huna haja ya kuonana na Mungu nitakujibu mimi,Aliruhusu uzaliwe kwa kuwa anajua unaweza kupambana na changamoto za duniani,Ile kupambana tu ukachana Ile placenta basi ulikuwa umeshafuzu kozi
Niko good sana japo sikuiz tuna tupanaFresh aisee upo powaa mdogo angu...
Nimefurah Kukuona...
Njoo unipe cha kufuta jasho 😁😂😂 Sasa itakuwaje, niitie To yeye
As long as it makes u happy no problem!!Maisha yenyewe haya ukute umeshaishi nusu ya Maisha unayotakiwa kuwepo hapa duniani halafu Tena unaanza kuishi bila furaha Hapana,sio kweli!tufanye Mambo yanayotupa furahasisi tumeshsajaribu kila kitu imeshindikana saivi ni mwendo wa 'hit and run' tu 😂
we si nilikuona mahali unaandika mashairi na bado PM ukafungiwa😂au nimejichanganya??😂Embu muache aje aniponze machungu bas😂
mbona una guna kikubwa hivyo ???wewe ni mwanaume Rijali kweli?Jf ina members wenye uwezo wa kumjua mtu the between line mwandiko wako haunyeshi kama kweli wewe ni mwanaume timilifu.Mungu mmhhhh mawazo yake yapo juuu sana
Ila pia anatuepusha na vitu vingi
Ila Mungu ameacha utumwani natamani nipate hata nusu saa tu nimwone tu nimuulize ni kwanini? Aliruhusu nizaliwe
Usingizi ni stareh isiyoitaji magugu moyoniNa mvua zote hizi unashindwa kuingia kwa blanket usinzie
Unasema😂Nimejaribu kukupata ila sikufanikiwa
Sometimes ubusy tu ila now nimeupunguza sanaa Tupo pamoja mdogo angu...Niko good sana japo sikuiz tuna tupana
Njoo unipe cha kufuta jasho 😁
Usitake kumuambukia gono mtoto wa watu bhna 😂Njoo unipe cha kufuta jasho 😁
We minakujua sana wewe una hit na ku run hiyo mikono yakosisi tumeshsajaribu kila kitu imeshindikana saivi ni mwendo wa 'hit and run' tu 😂
Atembeze ubuyu pale uhasibu siyo?Achana na mapenzi fanya mambo mengine!
Dah hivi kumbe mapenzi hayakuumbiwa kila mtu ,mi nilidhani ni kwa ajili ya sisi sote binadamu ,je unapaswa uweje ili uwe umeumbiwa mapenziMkuu unatakiwa utambue kwamba mapenzi hayakuumbiwa kila mtu.
Wewe huenda kipaji chako labda kipo kwenye kulima matikiti achana na mapenzi utakufa siku sio zako.
Poa mkuuSometimes ubusy tu ila now nimeupunguza sanaa Tupo pamoja mdogo angu...