Mimi FIFA 23 tu na sio uongo ninajua nacheza kama game sio mpira game nacheza kama game if you know you knowNow kuna Call of Duty modern warfare II akina captain price wamerudi tena na Bravo six team.[emoji119][emoji23][emoji23]
Ya zamani sana FIFA 19 iyo nalala vizuri tutatizo la wabongo hatuna kiasi ukipewa mashine unataka uikomoe imagine mtu halali kisa FIFA 19 chaaaaaaa
Boss ata izo kuna kamali kama unaweza kuna looser nje hela hela wewe na ubongo wako kuna watu per day anaweza ingiza ata 30 kwa kamariNaona haya yana uraibu mbaya nafuu ya kubeti. Naonaga sehemu fulani kinondoni sura fulani kila siku.
Bora sisi tunaobeti, siku nyingine tunapata chochote kitu. Pia tukiona mechi hazieleweki hatubeti.
Kuna ma bro wameona na wanawatoto ila tunagusa naoNishapitia huko kipindi fulani hadi nikawa nalala saa 9 usiku ila nikikuja kuacha mwenyewe, muda utafika ataacha
Basketball, Boxing,mieleka , spider na mengine kibao ya missionHuko kwenye hizo Ps kuna game zipi hasa ukiondoa fifa..mana wengine mpira ushatupitia kushoto.
Na kila nikienda kwenye ps wengi hucheza hizo fifa kitu kilichonifanya niondoe interesna Ps.
#MaendeleoHayanaChama
Play station
Em tupe techniques mzee...nmechoka kufungwa kila sikuMimi FIFA 23 tu na sio uongo ninajua nacheza kama game sio mpira game nacheza kama game if you know you know
Au uanaanzisha team unakuwa manager unashiriki kunazia championship hadi unaenda premier UEFA mixer kina ngolo kante kustaafu wewe upo tu nilichezaga adi ikafikia mwaka 2050[emoji16]mtoa mada unajua raha ya kuanza career mode na kijana kutoka academy mdogo mdogo mpaka anakua supastaa wa dunia?? acha kabisa raha ya game [emoji16]
Wale Old-Timers, sio kwa umri bali old timers kwa haya mambo bado wanaikumbuka Dangerous Dave back in 1990's and early 2000's!!Sasa huku kwenye frem wanazochezesha ps huwa wanalipia pesa kwahiyo dogo kaanza kuiba Hela nyumbani Ili aende kucheza, kukiwa hakuna pesa anaweza kuuza vitu vidogo vidogo, baba yake alipogundua alimtembezea kipigo cha haja lakini bado hasikii.
Kukaba unataka au kuchezaEm tupe techniques mzee...nmechoka kufungwa kila siku
Umepea kumshika mtu?Mbona me nnlo geto na hua nakaa had wiki nzima sijawasha
Dah...Inabidi uje uanzishie uzi kabisaKukaba unataka au kucheza
Kukaba mm natumia tactical defending hii ni full control of your defender
Button unazotumia sana ni direction na box hutumii X kukaba katika hili jifunze sana
Then kupiga pass kuna vi technic kuna Triangle +L2 +R2 izo unapigia Kwa pass za kila aina kuna izo unashika na chop hapo ni kwa pass za mwisho sana sana lazima imkute striker unaua tu easy na shoot
Kama unapenda ku posses utachelewa mzee kuna mi pass ya X +R2 iyo inakuwa kama umepiga 0 inayotambaa
Lazima pia ujue vi skills kidogo vya kumtoka beki
Yangu napendelea sana ball rolling + ile zizou
Mm nina chenga bili na bila kusahau BOX+X
somo ni lefu boss
Mimi mwenyewe huwa napiga hizo mpaka 900,000 nilishawahi. But u cant beat a bookie in a row, na huo ndio ugonjwa wa punters wengi. huwezi kumchapa mhindi angalau siku 7 in a row.Boss ata izo kuna kamali kama unaweza kuna looser nje hela hela wewe na ubongo wako kuna watu per day anaweza ingiza ata 30 kwa kamari
Uzi naanzishaga JF wanafuta ilaFIFA naijua nmecheza cheza na mabingwa TZ kuna ASHRAF, DOGO BICHWA, na kuna MACHAPATIDah...Inabidi uje uanzishie uzi kabisa
achana nayo kabisa iyo sauti[emoji23][emoji23][emoji23] yani apo moyo wangu unakuwa baridiHello and welcome, my name is Derek rae and coming to you with the commentary position is Martin Tyler.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sanaKuna madogo hapa nyumbani walinidanganya walisema anko tununulie PS tunaweka CD za masomo and bla bla pia Kuna games za hesabu na nini kumbe Yananipiga kamba Sasa na uzee huu nikazama mfukoni wakaenda kununua aisee kila siku yanalala saa Saba ukipita karibu na chumba Chao unasikia tu Mara Ronaldo with the ball..nampango wa kuichukua kuifungia chumbani
Hii hapaZiko nyingi mkuu ipige screenshot iyo yenyewe sasa