Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Baba alipaswa kumsaidia. Kwanini alaumu kufeli kwa mama yake wakati baba yupo?
NakaziaMkuu, wew hujahusika kabisa kumtia umaskin mama yake, ni mama ako alitaka starehe ambazo ndio zimemtia umaskini, angeshika kitabu asingekuwa masikini,
Sorry kwa maneno makali
Mama yake kusoma na mkurugenzi mtendaji wa nmb shule ya msingi.. kwake dogo ndio anaona walipaswa leo kuwa na maisha sawa.
Anasahau kujiuliza je sekondari form 1 walifaulu shule sawa sawa.
Stori yake inaonesha mama hakufaulu kwenda form one. Ndio maana akatafutiwa kozi ya type writer.
Ila hasemi kama bosi wa NMB alifaulu mtihani wa la saba na kuchaguliwa kwenda shule ya vipaji maalumu kilakala kuanza form one. Gap la mama yake na mtu anaemtolea mfano lilianza zamani sana.
Fanya kazi kijana,angalau wewe una huyo mzazi,ambao tulikuwa parent and homeless tulitoboa baada ya kuacha kulalamika bali tukawekeza kwenye kutatua tatizo.Kwa njia Gani...naomba muongozo akili yangu imegoma mwisho🙏
Nakazia
Dunia haina huruma kwa uzembe wa mtu.
Ukizingua umezingua, Lazima ubebe msalaba wako.
The world is not for the weak.
Mshahara wa 1m Kwa zaidi ya miaka 20 au 25 serikalini?Baba na Mama yangu wanaishi pamoja. Lakini kama baba angesimama kama baba. Akaacha ya Dunia akailea familia yake bila kuoa oa wake wengi nadhani Hadi Leo hii nisinge lalamika.
Hivyo sijataka sana kumlaumu yeye kwani simpendi. Na hata ningeeleza na kumtaja kusinge badili ukweli. Kwa ufupi na yeye Bado yupo serikalini ana cheo Fulani Cha kati. Ila Hana msaada wowote.
Mpaka hivi sasa ana watoto 15 Kwa wanawake Zaidi ya 6 Kwa mshahala wa 1m ataiongoza familia yake kanani kweli baba kama huyu...?
Kila levo ya maisha ina changamoto zake heshimu changamoto zako,,Pambana na changamoto zako,,Tatua changamoto zako ili kuruhusu changamoto nyingine kutokeza nazo ni hivyohivyo mpaka mwisho wa Dahari,, wengine wapo kwenye hivyo viyoyozi lakini hawana hata hizo mimba wala watoto nao wanajuta kivyaovyao!!
Usikubali kukata tamaa au hiyo hali ikupate hata ukiona huoni muelekeo usiache kupambana na muombe sana Mungu wako kwa bidii kila siku.Hapana Huwa ananipa sana matumaini. Ila Mimi nikijiangalia sioni kama nitajipata😭😭😭 mbele naona giza
Mshahara wa 1m Kwa zaidi ya miaka 20 au 25 serikalini?
Mzee inabidi arudi shule kwanza japo ya uzeeni sio mbaya ili apate kutengeneza mafao na vyeo vya mwisho mwisho
Shukrani nitajitahidiUsikubali kukata tamaa au hiyo hali ikupate hata ukiona huoni muelekeo usiache kupambana na muombe sana Mungu wako kwa bidii kila siku.
Kazi na sala iwe desturi kwako, ukiona giza limekuwa zito ujue mapambazuko yapo karibu.
Fanya kazi kijana,angalau wewe una huyo mzazi,ambao tulikuwa parent and homeless tulitoboa baada ya kuacha kulalamika bali tukawekeza kwenye kutatua tatizo.
Asante nitajitahidiCHANGAMKA NA MAISHA WACHA KUA MTU WA KULAUMULAUMU KILA SAA
Kidogo unenielewa Unique FlowerZamani hawajali uwe kiwango gani cha elimu wao wanakudisqualified umesikia babu
Yap Hana mtoto mwingine. NitajitahidiMawasiliano yake yanapatikana, pambana na kama hili litakushinda basi wewe huna roho ya upambanaji
Mtoto wa kwanza Kwa mama, ina wezekana ni wa pekee Hana mwingine ndio maana ukiandika kuna vingi watu wana kuringanisha navyo
Hatima ya maisha yako unayo wewe mikononi mwako, wewe ndiye mwenye jukumu la kuiandaa kesho yako na ya wanao.Huo mshahala ameupata hivi karibuni tu na amebakiza miezi michache awapishe wengine ofisini. Huku akiwa Hana ata mtoto mmoja alie ajiriwa 😭😭😭 ndio maana siku taka kuzungumza habari za baba yangu
Ndio nimekuelewa kabisaKidogo unenielewa Unique Flower
Asante boss nitajitahidiPole mzee, maisha ni mapito, kila mtu ana mapito yake, ukiweka nguvu kwenye kufikiria ya nyuma na majuto huwezi sogea.
Hiyo ishatokea pambana tu mzee, wao wametoboa kwanini ww ushindwe mzee, pamba pambana mpaka pumzi yako ya mwisho.
PambanaNi mfano wa watu waliosoma na mama yangu. Wapo wengi. Na Wala sijamtaja Kwa ubaya..!