X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #121
Hata mimi ninaunga mkono kwamba bora angeitoa tu mimba yako kwasababu ya upumbavu ulio nao. Kama umezaliwa 90 mwanzoni ina maana wewe ni mtu unatakiwa uwe na familia kabisa. Unavyosema hadi sasa hivi mama yako anakupambania INASHANGAZA SANA. Kilichonikera zaidi ni uliposema umesoma. Mama yako pamoja na majanga yake alitimiza wajibu wake kwa 100% wewe ndo unamletea ushenzi. Neno langu la busara kwako ni kuwa uache upumbavu na pambana ujitegemee badala ya kumtegemea mama yako. Hivi vijana mliozaliwa mna shida gani?
Najisaidiaje...nimefurukuta nimeishia kumiliki boda boda hivi sasa napiga bodaboda as bolt driver katika jiji la MAKONDA.
Unadhani nitatoboa kweli...?
Unadhani nitatoboa kweli...?