Najuta kumtia umasikini Mama yangu

Najisaidiaje...nimefurukuta nimeishia kumiliki boda boda hivi sasa napiga bodaboda as bolt driver katika jiji la MAKONDA.

Unadhani nitatoboa kweli...?​
 
Nashukuru ila sijafikia atua ya kuolewa. Kikubwa boss mshukuru Mungu pengine huijui changamoto na Wala usiombe ukumbwe na kadhia hii...!
Kinachokuuma ni mafanikio ya CEO wa NMB wala sio umaskini nk watu wanaumia kwa matendo yao wenyewe sio ya wazazi hii yako ni kufuru, kila mtu ako na changamoto chungu nzima, gangamala komaa sio kujiliza mtandaoni labda km unatafuta connection na clas mate wa mamako
 
Natafuta connection
 
Take it easy bro & never should you dwell on your past.
Zidi kupambana mkuu ipo siku mambo yako yatatiki na utakuwa katika nafasi nzuri ya kumsaidia mamako.

Kila la heri zako mkuu katika upambanaji wako.
 
Sasa ndio umeandika nini Man🙄
Mimi sijaona ubaya/ugumu wowote kisa chote kiko fresh kabisa ni routine za kawaida tu kwenye Maisha.
Unakoelekea wewe ni kujinyonga acha Mideko na Manung'uniko haraka sana.
Jomba badilisha hilo jina kwasababu kuna watu huku mara nyingi tunapiga kavu. Jina lako linaleta taharuki
 
Hao babu zako nao sio...!!Kwahiyo kisa Alipata Mimba tena akiwa amemaliza masomo yake tayari ni mtu mzima,walishindwa nini kumpatia huo mchongo Wakazi ili apambane na maisha yake?

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Zamani mimba kabla ya ndoa ilikua ajabu na aibu kwa familia.
Sio kama sasa mkuu.

Nimemuelewa mleta uzi. Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…