Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Ulisahau kuwalewesha wateja wako na kuwaibia pesa na simu guest house mabibo
 
Mwanaume yoyote ambaye ameoa mwanamke wa chuo basi ajue ameoa bomu siku yoyote litakuja kulipuka wale walitakiwa wawe single maza tu.
 
Hajafikia levo za huyu mleta maada, huyu ni zaidi ya sherwani yaan anasafirisha heroine, anatoa mimba Tena kasema nyingi😀😀😀 analoga yaani mshirikina (HAPANA linah hafiki hapo)
Kila mja na dhambi zake mkuu, nyepesi kwako nzito kwa mwingine. Mimi mwenyewe nina dhambi zangu zingine nakufa nazo na moyo wangu. Mwisho wa siku sisi wote ni wanadamu hatujakamilika.
 
Vipi kuhusu marinda mkuu, yako salama kweli ?
 
Si kweli, conclusion yako haiko sahihi mkuu, ni kweli pale Mabibo hostel Kuna uchafu mwingi sana...ila si kweli kwamba wasichana wote wa vyuoni wana tabia mbaya........hadi mabikra wapo najua wengi mtapinga
Unamaanisha bikra ipi?
Nyuma au mbele?
 
Yule mzungu wako anajua
 
Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
Tumeona watoto wa wachungaji wanaruka ukuta wa nyumbani kwako wanaenda club sembuse huyu ujinga kaufanyia chuoni, haya mambo ni kumuomba Mungu tu
 
Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
usikatae mimi nimeshuhudia wanafunzi wa chuo mmoja baba ake paroko huko morogoro ila dar hakuna siku analala hostel na waganga wakienyeji anaenda bangi anavuta shisha usiseme kama moshi wa treni na alifeli kabisa hadi sasa umeshindwa kurudi kwako kwa mabadiliko na yy hajabadilika anapambana na jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…