BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Haiwezekani?...We Shukuru TU Mungu!Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Haiwezekani?...We Shukuru TU Mungu!Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
...Amekosea vipi? Hayasafirishi na Wanawake??...Mfateni PM akawatapeli. Hill NI lidume hata mwandiko.
Alipokosea NI hapo anasema "hadi madawa ya kulevya nimesafirisha'...
...SI ameishasema :Yote Alifanya', au sikumuelewa??.;...Mbona kipengele cha kutolewa marinda umekiruka
Imagine baba mwenye nyumba nae awe anamvizia dada huyohuyo😅😅😅Sometimes kutamka mambo magumu hayo ni ujasiri pia.
Ila hilo la kusagana na beki tatu mmmh, aibu nimeona mimi
Kila mja na dhambi zake mkuu, nyepesi kwako nzito kwa mwingine. Mimi mwenyewe nina dhambi zangu zingine nakufa nazo na moyo wangu. Mwisho wa siku sisi wote ni wanadamu hatujakamilika.Hajafikia levo za huyu mleta maada, huyu ni zaidi ya sherwani yaan anasafirisha heroine, anatoa mimba Tena kasema nyingi😀😀😀 analoga yaani mshirikina (HAPANA linah hafiki hapo)
[emoji2][emoji2]Once a snitch always a snitch.
Vipi kuhusu marinda mkuu, yako salama kweli ?Ukiwa kama mzazi naomba tu usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.
Nilipokuwa kuwa chuoni, UDSM niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba.
Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya ovyo.
Nikiwa pale ndipo nilijifunza usagaji, upo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo Huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia Siri.
Mbali ya kusagana bado nilikuwa na Mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine.
Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya Wacha Mungu, nikiwa chuo nilijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.
Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa.
Nimeshawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, nashukuru sikukamatwa.
Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chuoni.
Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, kaa naye nyumbani ili awe salama.
Amina...Haiwezekani?...We Shukuru TU Mungu!
Kama ndo ww Jemima uliyejichubua ,basi MUNGU akusamehe
Unamaanisha bikra ipi?Si kweli, conclusion yako haiko sahihi mkuu, ni kweli pale Mabibo hostel Kuna uchafu mwingi sana...ila si kweli kwamba wasichana wote wa vyuoni wana tabia mbaya........hadi mabikra wapo najua wengi mtapinga
Yule mzungu wako anajuaUkiwa kama mzazi naomba tu usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.
Nilipokuwa kuwa chuoni, UDSM niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba.
Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya ovyo.
Nikiwa pale ndipo nilijifunza usagaji, upo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo Huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia Siri.
Mbali ya kusagana bado nilikuwa na Mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine.
Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya Wacha Mungu, nikiwa chuo nilijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.
Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa.
Nimeshawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, nashukuru sikukamatwa.
Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chuoni.
Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, kaa naye nyumbani ili awe salama.
Afu si PC yako ile, unaiuwa hapa leo[emoji1787]Nikisema mademu wa chuo ni uchafu msibishe. Mungu anakupenda hukupata gono, ukimwi na hukuangukia kwenye uteja
Tumeona watoto wa wachungaji wanaruka ukuta wa nyumbani kwako wanaenda club sembuse huyu ujinga kaufanyia chuoni, haya mambo ni kumuomba Mungu tuMi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
usikatae mimi nimeshuhudia wanafunzi wa chuo mmoja baba ake paroko huko morogoro ila dar hakuna siku analala hostel na waganga wakienyeji anaenda bangi anavuta shisha usiseme kama moshi wa treni na alifeli kabisa hadi sasa umeshindwa kurudi kwako kwa mabadiliko na yy hajabadilika anapambana na jijiMi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi