Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Ulisahau kuwalewesha wateja wako na kuwaibia pesa na simu guest house mabibo
 
Mwanaume yoyote ambaye ameoa mwanamke wa chuo basi ajue ameoa bomu siku yoyote litakuja kulipuka wale walitakiwa wawe single maza tu.
 
Hajafikia levo za huyu mleta maada, huyu ni zaidi ya sherwani yaan anasafirisha heroine, anatoa mimba Tena kasema nyingi😀😀😀 analoga yaani mshirikina (HAPANA linah hafiki hapo)
Kila mja na dhambi zake mkuu, nyepesi kwako nzito kwa mwingine. Mimi mwenyewe nina dhambi zangu zingine nakufa nazo na moyo wangu. Mwisho wa siku sisi wote ni wanadamu hatujakamilika.
 
Ukiwa kama mzazi naomba tu usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.

Nilipokuwa kuwa chuoni, UDSM niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba.

Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya ovyo.

Nikiwa pale ndipo nilijifunza usagaji, upo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo Huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia Siri.

Mbali ya kusagana bado nilikuwa na Mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine.

Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya Wacha Mungu, nikiwa chuo nilijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.

Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa.

Nimeshawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, nashukuru sikukamatwa.

Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chuoni.

Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, kaa naye nyumbani ili awe salama.
Vipi kuhusu marinda mkuu, yako salama kweli ?
 
Kama ndo ww Jemima uliyejichubua ,basi MUNGU akusamehe
images (21).jpeg
 
Si kweli, conclusion yako haiko sahihi mkuu, ni kweli pale Mabibo hostel Kuna uchafu mwingi sana...ila si kweli kwamba wasichana wote wa vyuoni wana tabia mbaya........hadi mabikra wapo najua wengi mtapinga
Unamaanisha bikra ipi?
Nyuma au mbele?
 
Ukiwa kama mzazi naomba tu usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.

Nilipokuwa kuwa chuoni, UDSM niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba.

Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya ovyo.

Nikiwa pale ndipo nilijifunza usagaji, upo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo Huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia Siri.

Mbali ya kusagana bado nilikuwa na Mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine.

Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya Wacha Mungu, nikiwa chuo nilijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.

Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa.

Nimeshawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, nashukuru sikukamatwa.

Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chuoni.

Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, kaa naye nyumbani ili awe salama.
Yule mzungu wako anajua
 
Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
Tumeona watoto wa wachungaji wanaruka ukuta wa nyumbani kwako wanaenda club sembuse huyu ujinga kaufanyia chuoni, haya mambo ni kumuomba Mungu tu
 
Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
usikatae mimi nimeshuhudia wanafunzi wa chuo mmoja baba ake paroko huko morogoro ila dar hakuna siku analala hostel na waganga wakienyeji anaenda bangi anavuta shisha usiseme kama moshi wa treni na alifeli kabisa hadi sasa umeshindwa kurudi kwako kwa mabadiliko na yy hajabadilika anapambana na jiji
 
Back
Top Bottom