Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Mbona hivi vitu vya kawaidaa...... kuna watu walifanya uchafu na uovu zaidi....
 
Kuna side effect nyingi za kubana watoto
 
Tuambie tabia zako kabla ya kwenda chuoni.
Maana, sidhani kama unaweza kukubali usagaji na umalaya kama vitu hivyo havifurahishi moyo wako( tukizingatia kuwa ulifanya hivyo bila kulazimishwa).
 
Hongera sana sana kwa ujarisi mkubwa wa kufungua macho jamii.

Mungu akutie nguvu.
 
ila jemima nakujua tangu advance ulikua wamoto sana duuh.
 
CHAI hii umei design uonekane umeshafanya kila kitu duniani something which is not possible hata kama ni uongo kwa njia ya kutoa fundisho mkuu haiwagi hivi.
Unachagua kakipengele kamoja una deal nako kupikia CHAI zako sasa wewe umebebe zote
Usagaji wewe
Umalaya wewe
Bangi wewe
Madawa ya kulevya wewe
Ushirikina wewe

Aah mkuu tupumzishe basi
 
Ulikuwa ushuzi kweli ww!!
mpe pole mume wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…