Aya banaUrafiki umekufa kuanzia leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya banaUrafiki umekufa kuanzia leo
Alichokiongea ni ukweli mtupu vyuoni. Kwamba story inamhusu yeye mwenyewe au la, sio issue!Chai hii, Tena haina sukari
Mbona hivi vitu vya kawaidaa...... kuna watu walifanya uchafu na uovu zaidi....Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.
Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo.
Nikiwa pale nilijifunza usagaji, upo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia siri.
Mbali ya kusagana bado, nilikuwa na mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine. Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya wacha Mungu, nikiwa chuo nilijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.
Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa. Nimeshawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, nashukuru sikukamatwa.
Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chuoni. Kama hamna umuhimu wa binti yako kukaa hostel, kaa naye nyumbani ili awe salama.
Kuna side effect nyingi za kubana watotoKama hujapitia maisha ya Chuo utasema ni Chai...
ila ukwel Mabinti wanaharibikia chuo
Anabanwa akiwa mdogo mpaka anakua akifika Chuo anautumia uhuru sawa sawa..
Nilikuwa na rafiki yangu Home kwao akilud likizo hata hatoki wanamlinda ila chuo anaishi kwa mshikaji[emoji23][emoji23][emoji23]unabaki kucheka tuu
Ushaolewa tayari? Na una watoto au bado?Naihubiri
Nina ndoa takatifu ya madhabahuniUshaolewa tayari? Na una watoto au bado?
Ngoma anakimbiaga vipimo budaNikisema mademu wa chuo ni uchafu msibishe. Mungu anakupenda hukupata gono, ukimwi na hukuangukia kwenye uteja
Tuambie tabia zako kabla ya kwenda chuoni.Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.
Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo.
Nikiwa pale nilijifunza usagaji, upo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia siri.
Mbali ya kusagana bado, nilikuwa na mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine. Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya wacha Mungu, nikiwa chuo nilijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.
Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa. Nimeshawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, nashukuru sikukamatwa.
Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chuoni. Kama hamna umuhimu wa binti yako kukaa hostel, kaa naye nyumbani ili awe salama.
Weeeh Paulina hujawahi kutumia unyunyu wa laki 2.5 wakati uko chuo ???Ukweli humuweka mtu huru. Hongera kwa uamuzi wa kua na uwazi umetua mzigo mzito 😘
Hongera G. Kwahiyo zile beach parties n Islands tours umewaachia wengine?Yesu ameshanitoa huko, sasa nachapa injili
Inawezekana alipata magonjwa ila hajaweka waziNikisema mademu wa chuo ni uchafu msibishe. Mungu anakupenda hukupata gono, ukimwi na hukuangukia kwenye uteja
Ulikuwa ushuzi kweli ww!!Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.