Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Marketing
 
Hii chai. Ni kweli chuo kuna starehe lakini hauwezi kufanya yote hayo aliyeleta mtoa mada kwa mkupuo tena kwa mazingira ya UDSM sio kweli. Hauwezi kusafirisha dawa za kulevya alafu eti hapo hapo ni msagaji, mwanafunzi anayehudhuria vipindi , teja, mlevi , malaya alafu eti uonekane wa kawaida na ugraduate kama wengine! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe sema ulikuwa unaishi kama njiwa kwenu, ulivyofika chuo ukaamua kuwa kunguru, na ushamba wa starehe za jiji ndio ukachanganyikiwa kabisaaaa.
 
Hongera...

Ila subiria PM za wakoboaji...
 
Pole sana dada, sasa anza kumcha Mungu ili akusamehe makosa yako na uombewe pepo la usagaji na ngono likuondoke! Unaweza kuja inbox nikusaidie kuacha kabisa tabia hizo kwa maombi!
 
Nikisema mademu wa chuo ni uchafu msibishe. Mungu anakupenda hukupata gono, ukimwi na hukuangukia kwenye uteja
Imagine unaoa binti kutoka chuo. Miaka sita au saba mbele ya safari huko inapatikana video yake akiwa anafanya yake, au picha zake za utupu au inatokea anaonekana akiwa bata amevaa nguo za mitego.

Aiseee. Unaweza pata presha ukadedi.
 
Duh
 
Kwa lugha nyingine hakuna dhambi ambayo haujafanya. Wizi je? Umeshawahi kuwa jambazi? Umeshaua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…