Ukiwa kama mzazi naomba tu usome na kuelewa Nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.
Nilipokuwa kuwa chuoni, UDSM niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba.
Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo.
Nikiwa pale ndipo nilijifunza usagaji, kusagana ni raha sana na kupo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo Huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia Siri.
Mbali ya kusagana bado nilikuwa na Mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine.
Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya Wacha Mungu , nikiwa chuo nikijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.
Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa.
Nimeahawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, namshukuru sikukamatwa.
Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chUoni.
Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, Kaa naye nyumbani ili awe salama