Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Sjaona dhambi hapo. Labda hyo kutoa mimba na kusagana.. hayo mengne.. ni maisha ya kawaida sana kwa watoto wa kiume
 
Mbona hujasema kama ni ugly face and shape? maana hadi unaenda kwa waganga kuvuta wanaume
 
Hakuna viumbe jasiri Kama wanaovaa pedi.
Ujanja unaonekanaga ujinga ukishaumaliza au ukishapitwa na muda
 
Yesu ameshanitoa huko, sasa nachapa injili

Yesu tena!! Na sio Mwenyezi Mungu aliekuumba dada jemima? Pole sana ,Allah atakuongoza

Inasikitisha sana ,mtoto wa kike kusamika na ushenzi kwa maisha ya chuo ni asilimia ndogo mno..

Mtihani sana sheikh,, ndio maana sisi waislamu tunaaswa sana kuwafundisha watoto wetu Qur'an/elimu ya dini, hili ni muhimu sana kuliko hayo masecular yao ya kipumbafu.
 
Hata sio kwa ajili ya chuo ni ujinga na ibili aliamua tu kukutembelea kwa kipindi hiko na hata baada ya huko!

Watenda dhambi wengi hutafuta ukuta wakuegemea kwa dhambi zao, sisemi kwamba mim sina ila we ulizidi..

Tumepita huko ila ujinga na ushenzi nikujitakia tu wala sio sababu ya chuo na Nini hiyo nitabia tu ambayo iliamua kujificha na ulipofika hapo nayo ikajionyesha..

Chakushukuru nikuwa huenda ukawa umeongoka kama nikweli maana tabia za namna hiyo ningumu kuziacha,

Hakika vifua vina Siri nyingi jamani yaani siamini mumeo anakuonaje akikuona,,

Haya angeyajua asingekuchagua wew.. mungu ni mwema kwetu kabisa ana Siri nyingi zetu ila anatustiri bila kujali ni za namna ganii
 
Ujinga wako peke yako na tamaa zako za maisha unataka kuwasingizia na watoto wa wenzio.
Humu ndani asilimia kubwa tumepitia mavyuoni na watu wenye tabia zako walikuwepo ila tulikuwa tunawaona kama vibwengo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…