Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Too general, story yako ya kubumba.....acha hizo. Kama wewe konki shuka na issue iliyoshiba si hii ubwa2 ndo2.
 
Ngoja niendelee kusoma comments za wadau[emoji1614][emoji1614][emoji1614]
 
Chuo unakaaje na mtoto wako, upo dar wazaz wapo kantalamba unaishi vp
 
Ujinga wako peke yako na tamaa zako za maisha unataka kuwasingizia na watoto wa wenzio.
Humu ndani asilimia kubwa tumepitia mavyuoni na watu wenye tabia zako walikuwepo ila tulikuwa tunawaona kama vibwengo tu.

Hii comment kama niliwahi kukutananayo sehemu, tena humu humu.
 
Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
😂Mimi mpaka imenipalia, Mwanamke hawezi kufunguka hivi
 
Tupia ka-video kafupi either ukisagwa or ukigongwa or ukifumuliwa marinda
 
Weeee acha zako, kuna assigment,test, course work ndogo, supp, weee labda usome couse simple huko.
assignment anamlipa mtu anamfanyia

test anaomba connection kwa profesa pakusoma

Quiz analipa mtu anamfanyia ikitokea haiwesekani ataongea na mwalimu

hapo tukutane tu UE
(Mtoa mada anaonekana hajasoma makozi magumu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…